#COVID19 Leo ndo nimeamini COVID-19 ni hatari

#COVID19 Leo ndo nimeamini COVID-19 ni hatari

Ndiyo ugonjwa upo na hakuna anaye bisha lakini kulazimishana ndo haitakiwi
Tafuta taarifa sahihi mkuu,mbona unaingizwa mkenge kirahisi hivyo.Kwa hiyo unaamini ugonjwa kwa sababu wamesema upo?No, huu sio wakati wa kuamini kila kitu.Wake up.
 
Nimeugua huu ugonjwa kwa siku ya 10+ leo,

Homa kali sana,
Kikohozi,
Kuharisha,
Kichefuchefu throughout,
Kukosa harufu na ladha,
Jogoo kutokuwa katika hali ya kawaida ya uwikaji. Kuna kipindi nilihisi 'network' imekata.

Nimepambana sana, bado nina shida ya kukosa harufu na ladha. Daktari amesema ni kawaida na itaisha.

Kimsingi huu ugonjwa ni hatari sana, ukilemaa unakuondoa muhimu kuwa Kinga ya kutosha-vyakula na mazoezi.
 
Wataalam kila siku wanatoa maelezo kuhusu huo ugonjwa mkuu ,google it utapata factors zinazo favor corona virus ku spread ,wameeleza kwa kina immunity,environment(weather condition) etc impact zake kwenye uviko.
Mimi nataka tujadili uhalisia na si kwamba hayo unayosema siyajui.
 
Mimi nataka tujadili uhalisia na si kwamba hayo unayosema siyajui.

Uhalisia upi? Kwamba corona hakuna kama Mwendazake alivyowa_brainwash? Kwamba Moshi,Mwanza kuna wagonjwa wengi wa korona ni uongo? Swali lako la kujua muda gani kwamba TZ nzima itakuwa kama Moshi sio la kimtantiki maana ugonjwa kusambaa katika eneo moja huwa tofauti kwa eneo lingine kulingana na mazingira,immunity,tahadari wanaochukua jamii hiyo etc
 
Kwa hiyo unaamini kila ukibanwa na kifua ni C-19.Dah!Kweli ujinga hauna mwisho.Hivi hujui kwamba vitu vingi vinaweza kuleta kubanwa na kifua,hata air pollution!Na hivi hujui kwamba hicho kinachoitwa Corona ukinywa Hydroxychloroquine au Ivermectin au hata Pine Oil au hata Pine Juice kinapotea?Tumeingizwa mkenge kweli kweli.
Kitu gani umeki-dislike hapo,unadislike ukweli ambao unaweza kukuponya wewe binafsi na ndugu zako.No wonder unaitwa Uswiss,you are answerable and part of the Western CIA Mockingbird CIA propaganda machine.
 
Uhalisia upi? Kwamba corona hakuna kama Mwendazake alivyowa_brainwash? Kwamba Moshi,Mwanza kuna wagonjwa wengi wa korona ni uongo? Swali lako la kujua muda gani kwamba TZ nzima itakuwa kama Moshi sio la kimtantiki maana ugonjwa kusambaa katika eneo moja huwa tofauti kwa eneo lingine kulingana na mazingira,immunity,tahadari wanaochukua jamii hiyo etc
Mimi sisemi kuwa hakuna corona.

Mkuu habari za corona tunazizungumza hapa toka mwaka jana na kuhusu tahadhari hilo wote tunajua kuwa hakuna tahadhari, watu wanaweza kwenda mkoa wowote muda wowote. Sasa ni mazingira gani hayo yanayofanya hiyo mikoa kuwa na maambukizi mengi ya corona na watu kufa kwa wingi kuliko kwengine?
 
Nilikuwa nachukulia poa hii kitu. Yaani kuvaa barakoa na kunawa sijui mikono ilikuwa ni mpaka nione kuna ulazima au kulazimishwa.

Mfano nikienda hospital ni mpaka nione watu hawaruhusiwi kuingia bila barakoa ndo na mimi nitanunua na kuvaa. Ila sasa yaliyotokea leo ndugu zangu nimenyoosha mikono juu. Yaani nimepigiwa simu jana saa nne usiku naambiwa mama yako mkubwa anaumwa kifua kimembana na vichomi tunampeleka hospitali, nikachukulia kawaida tu. Kufika saa saba na nusu usiku watu wanapiga simu wanalia amefariki.

Nimefika msibani tena naambiwa watoto wake wawili wamelazwa hospitali wapo hoi kwa tatizo hilo hilo la vifua kubana na vichomi. Aise ikabidi nitoke kimya kimya kwanza kwenda kununua barakoa za kutosha na groves kabisa maana ni hatari.

Covid ipo ndugu zangu ni hatari na inaua ghafla ghafla kabla hata hujatubu dhambi zako.

Take care chukua tahadhari.
Hilo la kutotubu DHAMBI linenishitua Sana Sana maana go to be honest naogopa mnooo kufa katika DHAMBI najua madhara yake

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Hivi ndugu yangu kama iko huko duniani, hapo ulipo Moshi au Mwanza ni kitu gani?
#Jikingecovid19ipo
Inapiga kwa kufuata kanda mkuu huku nyanda za juu kusini hatujawahi kuona hii kitu
 
pole sana mkuu nina class mate wangu mume wake kafariki jana na mke yuko ICU hapo benjamini
kikubwa tujikingine ili gonjwa lipo serious sana
 
Acha kututisha mzee baba. Covid iko wapi? Acha siasa kwenye mambo ya msingi.

Pole sana Mkuu kwa msiba. Ndo Dunia
Nilijua tu Masalia ya jiwe hayakosi hapa!! Jiwe mbaya sana katuharibia hata watu wazima! mpaka leo athari zake ndo km alumn!!! nasema bila kumung'ung'unya maneno hii yooote ni ajili ya jiwe tu! alikufa lkn alikuwa bado mbishi tu!

Drs, wanamwambia wewe mzee COVID hii unaondoka!!! hapana msinitangazie ivo!! mie napona na ndo Rais wa Bongo! Oooh!

Sasa nakuuliza hao wanaokufa siyo watu? utasema hapn!! imependikizwa hii!! Oooh! mapapai yaliitoa wapi!! ......
 
Mkuu Mbona kwa mujibu wa maelezo yako marehemu alifariki kwa kichomi na kifua kubana, ...... Hakuna mahali umeandika alifariki sababu ya Covid/Uviko.

Kichwa chako Cha habari badilisha utaleta taharuki kwenye Jamii.
Jitahidi sana usome some kidogo!!! siyo mpaka uwe Dr kuyajua haya, bali ni uelewa mdogo sana unapatikana kwenye magazeti ya kawaida mno....
 
Nilijua tu Masalia ya jiwe hayakosi hapa!! Jiwe mbaya sana katuharibia hata watu wazima! mpaka leo athari zake ndo km alumn!!! nasema bila kumung'ung'unya maneno hii yooote ni ajili ya jiwe tu! alikufa lkn alikuwa bado mbishi tu!

Drs, wanamwambia wewe mzee COVID hii unaondoka!!! hapana msinitangazie ivo!! mie napona na ndo Rais wa Bongo! Oooh!

Sasa nakuuliza hao wanaokufa siyo watu? utasema hapn!! imependikizwa hii!! Oooh! mapapai yaliitoa wapi!! ......
Watu wenye fikra fupi bana!!??
wanasikitisha........
badala ya kujibu hoja wanakimbilia eti masalia ya jiwe!!??
 
Watu wenye fikra fupi bana!!??
wanasikitisha........
badala ya kujibu hoja wanakimbilia eti masalia ya jiwe!!??
kwani uongo!! manatupa shida bana aa!!aa!! watu gani hamuelewi nyinyi? mna akili km za baba yenu jiwe! ivooivo kuwasema wenzake eti wana akili fupi kina kikwete na wewe pia unafaa kukaa alipo!
 
Back
Top Bottom