Kuna vijana humu wanapeanaga mbinu za kijinga siku umri ukienda watalalamika kama huyu jamaa.Kwa nini nikutishe? Nikueleze ukweli, mambo mengi ya hovyo mnayofanya ukiwa vijana Yana tengeneza mitazamo yenye mazara baadae!
Mbali kwenyewe ndo hapo kwenye majuto. Na bado...atakufa mpweke na asiye na furaha.Mkuu wala huna tatizo, tena tabia uliyonayo ya kutowajali wanawake ndio tabia sahihi, utafika mbali
JifarijiMimi niko kwenye 36 yrs.bado nina nafasi
Ukiona unalaumu watu kutokana na matatizo yako ujue kwamba mwenye matatizo ni wewe mwenyewe.Hili nalikataa kwa jina la muumba.
Nooo.
Mnachangia wenyewe kuharibu saikorojia zetu matokeo ndo haya tunakuwa wasiojali tena.
nina pisi moja ni moderator hivyo ban zenu zitahaririwa vyema akiwa kifuani kwangu...😂Sawa tukimaliza tunaelewana kisha tunakugeukia wewe.
[emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958]
Duuuh chai ya juu ya bati.Hii kali kuliko sasa😄😄😄
Vile karma ana adress ya dunia yote! Soon baba, soooon!Watu Kama wewe mnatengeneza ujinga moyoni na upumbavu, kuna siku mtapenda kweli, martendwa na hakika mtateseka sana
Inawezekana. Stress zinatofautianaBasi na wewe unayenifokea una matatizo na stress.
MnoVinahusiana?