Leo ndo nimegundua kumbe sijui ninachokitaka kwenye mahusiano

Leo ndo nimegundua kumbe sijui ninachokitaka kwenye mahusiano

Mbali kwenyewe ndo hapo kwenye majuto. Na bado...atakufa mpweke na asiye na furaha.
Hili nalikataa kwa jina la muumba.

Nooo.

Mnachangia wenyewe kuharibu saikorojia zetu matokeo ndo haya tunakuwa wasiojali tena.
 
Hili nalikataa kwa jina la muumba.

Nooo.

Mnachangia wenyewe kuharibu saikorojia zetu matokeo ndo haya tunakuwa wasiojali tena.
Ukiona unalaumu watu kutokana na matatizo yako ujue kwamba mwenye matatizo ni wewe mwenyewe.
 
Sawa tukimaliza tunaelewana kisha tunakugeukia wewe.

[emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958]
nina pisi moja ni moderator hivyo ban zenu zitahaririwa vyema akiwa kifuani kwangu...😂
 
Demi njoo amekujibu njoo umpapatue nimependa ugomvi wenu utawafikisha mbali nina chakujifunza hapa..😂
Ha haaa sina ugomvi mie jamani..naondpa stress tu hapa kama alivyosema stress ninazo za kutosha
 
Back
Top Bottom