Leo ndo nimegundua kumbe sijui ninachokitaka kwenye mahusiano

Leo ndo nimegundua kumbe sijui ninachokitaka kwenye mahusiano

Kumbe wew ndo kiwanda cha kutoa products za single mother ahahahah

Mzee endelea kutoa products nyingi zaidi ili sisi watumiaji wa hizo products tupo wengi maana ni bei cheeeee umekula mzigo
 
umemuogopa!
Unataka nigombane na keyboard? Nitakuwa na matatizo ya akili. Nimewaachia nyie watoto siku hizi sigombani na mtu..tunapeana ukweli basi
 
Maisha yanatengeneza vichaa fresh wengi sanaa.....mental health shida sana kwa maisha sasa ......mnoo yaanii
 
Unataka nigombane na keyboard? Nitakuwa na matatizo ya akili. Nimewaachia nyie watoto siku hizi sigombani na mtu..tunapeana ukweli basi
Mwambie huyo, nimeshangaa anatuwekea mawe viganjani ili tupigane.

Bado mtoto mdogo sana inaonekana.
 
Maisha yanatengeneza vichaa fresh wengi sanaa.....mental health shida sana kwa maisha sasa ......mnoo yaanii
Kuna wakati unaweza kudhani ni ushamba kumbe ni tatizo na mwenye nalo sio kwamba analikumbatia bali anahitaji msaada.

Sijaandika kwa mlengo wa kutaka sifa ila kusaidiwa it mean hata mimi sipendi kuwa hivi.
 
Niko kama wew

Ila kuna demu mmoja aliwah kunipatia,nilimwambia tuachane(baada ya kulalamika nimemuambukiza U.T.I sugu),alivyokuwa ananipigia ili tuongee tuyamalize,nikamblock,binti aliendelea kunitafuta kwa wiki kama mbili kwa huruma nikaamua kumblokuwa

Penz likarud,nikaenda kwake,akaniambia tupime kwanza ngoma,usiku mzima sikumla kesho asubuh tukapima tukawa tupo sawa,siku hyo sikwenda kulala kwa demu na alikuwa na safar

Alisafir akaenda alipoenda akaanza kunilalamikia kwann siku hyo tulipopima sikwenda kulala kwake kumla,nikamwambia nilisubil aniambie,baadae demu akiwa huko alipokuwa nikashangaa tu mawasiliano yanapungua,alivyotaka kurud akaniomba nauli nikamtumia,lakin alivyorud akarud kimya kimya pasipo kunitaarifu

Siku moja katika kumpigia sm ndo ananiambia karud,nikaona huyu demu hayupo sawa na mim nikaanza kumpotezea,siku moja usiku namuona na mwanaume mwingine,niliteseka mno,demu haeleweki,hapo ndo nilijua kumbe hata mim huwa napenda
 
Mara nyingi nimekuwa nalaumiwa sana na mabinti ninaokuwa nao kwenye mahusiano kuwa sipendeki,kwa madai kadhaa ikiwemo kuwa sijali na au sionyeshi kama napenda kweli ile upendo wa kuonekana, japokuwa mara zote huwa najitetea kwamba mimi mahaba ya kinjiwa njiwa sijabarikiwa ndo maana hata njia yangu ya kuwapata sio ile ya tongoza tongoza nyingi, shawishi shawishi kadhaa etc.

Ni nakupenda nafatilia fatilia kidogo na tuvishawishi tudogo sana tu basi na huwa situmii rasimali pesa au muda na siku nyingi huku nikiambiwa hapana zaidi ya mara tatu naamini ni hapana kweli naachana nae, sasa kumbe wao ni tofauti wakiona nimepoa wanakuja wenyewe kwa gia zao na automatical mahusiano yanaanzia hapo.

Sasa kwenye mahusano yenyewe tudumu tusidumu sio jukumu langu tena, apate mimba asiwepate ni sawa tu tukianza mahusiano nitafanya hivi na vile kama wapenzi kweli kweli ila siku nikiambiwa ishu za penzi kuisha huwa hata siumii na tunaishia hapo kweli kweli japo sijawahi kuwa na binti wa watu kwa muda mfupi ni miaka kama miwili mitatu ndo penzi linrudi lilipotoka na linaisha bila ugomvi, mara zote naambiwa mimi ndo sieleweki, sina malengo yoyote kwenye mahusiano.

Nilifunga ndoa kabisa na binti wa watu japokuwa ndoa ilikuwa na taabu kadhaa ikiwemo ufeminist ila siku ananiambia kuwa anaondoka nilimpa jibu moja tu sawa nenda na akaenda kweli hadi leo ni mwaka.

Sasa wadau siwezi kuwa na tatizo la saikorojia kweli? Au sijapata mwanamke ninayempenda kwa dhati, maana nahisi kufanya ukatili sana kwenye haya mambo. Nina watoto 5 wote mama tofauti.
brother nakushauri uendelew kuwa hvyo hivyo ukajaribu kubadilika ili wanawake wakuelewe jua sio muda utaanza kupost threads za #fear women
 
Unataka nigombane na keyboard? Nitakuwa na matatizo ya akili. Nimewaachia nyie watoto siku hizi sigombani na mtu..tunapeana ukweli basi
sasa huto tu miaka 20 ndo utuite sie watoto!! mh! haya mpeana ukweli wa watu.
 
Niko kama wew

Ila kuna demu mmoja aliwah kunipatia,nilimwambia tuachane(baada ya kulalamika nimemuambukiza U.T.I sugu),alivyokuwa ananipigia ili tuongee tuyamalize,nikamblock,binti aliendelea kunitafuta kwa wiki kama mbili kwa huruma nikaamua kumblokuwa

Penz likarud,nikaenda kwake,akaniambia tupime kwanza ngoma,usiku mzima sikumla kesho asubuh tukapima tukawa tupo sawa,siku hyo sikwenda kulala kwa demu na alikuwa na safar

Alisafir akaenda alipoenda akaanza kunilalamikia kwann siku hyo tulipopima sikwenda kulala kwake kumla,nikamwambia nilisubil aniambie,baadae demu akiwa huko alipokuwa nikashangaa tu mawasiliano yanapungua,alivyotaka kurud akaniomba nauli nikamtumia,lakin alivyorud akarud kimya kimya pasipo kunitaarifu

Siku moja katika kumpigia sm ndo ananiambia karud,nikaona huyu demu hayupo sawa na mim nikaanza kumpotezea,siku moja usiku namuona na mwanaume mwingine,niliteseka mno,demu haeleweki,hapo ndo nilijua kumbe hata mim huwa napenda
Daah.
 
sasa huto tu miaka 20 ndo utuite sie watoto!! mh! haya mpeana ukweli wa watu.
Dogo ushaambiwa hawezi kugombana na upepo.mimi pia nisingempokea ikiwa angekuja kama ulivyomshauri.
 
Haupo peke yako mkuu mwenye hali hyo.....upo kwenye kundi la introvert.

Hizo ni tabia chache tu za hilo kundi (introvert) vzuri ukazisoma ukazielewa,bila shaka humu kuna uzi wake ukielezea hzo tabia.

Ni ngumu sana kwa mwanamke kuishi na mwanaume mwenye hiyo hali....si unajua wanawake wengi wanapenda mapenzi ya njiwa uongo uongo mwingi na siasa.

Sasa akikutana na mtu ambe ni introvert huona kama hapendwai,hajaliwi na sio kwamba apewi vitu muhimu kama mke....ila anataka zile show off,uongo uongo,zile siasa siasa za mapenzi kitu ambacho mwanaume mwenye hii hali hawezi kufanya....au akafanya kwa nadra sana.

Sasa kwa wanawake wa karne hii vichwa maji.....hawana wanachojua kwenye ndoa zaidi ya baby baby sweat love,utapata shida sana.

Cha muhimu leo hao watoto wapatie huduma nzuri.....

Haupo peke yako ata mimi ni introvert....
 
Back
Top Bottom