KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
umemuogopa!Ha haaa sina ugomvi mie jamani..naondpa stress tu hapa kama alivyosema stress ninazo za kutosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umemuogopa!Ha haaa sina ugomvi mie jamani..naondpa stress tu hapa kama alivyosema stress ninazo za kutosha
😁😄😄😄😄!
Mimi nakuelewa sana sweetheart...😁😄😄😄😄!
Nawe unamsapoti kabisa haha Huendi mbinguni walai!
inshu yako imekaa kishamba sana mshangaziUnachotakiwa kufanya ni kujua namna ya kuandika neno saikolojia
Unataka nigombane na keyboard? Nitakuwa na matatizo ya akili. Nimewaachia nyie watoto siku hizi sigombani na mtu..tunapeana ukweli basiumemuogopa!
Mwambie huyo, nimeshangaa anatuwekea mawe viganjani ili tupigane.Unataka nigombane na keyboard? Nitakuwa na matatizo ya akili. Nimewaachia nyie watoto siku hizi sigombani na mtu..tunapeana ukweli basi
Kuna wakati unaweza kudhani ni ushamba kumbe ni tatizo na mwenye nalo sio kwamba analikumbatia bali anahitaji msaada.Maisha yanatengeneza vichaa fresh wengi sanaa.....mental health shida sana kwa maisha sasa ......mnoo yaanii
😀😀😀
brother nakushauri uendelew kuwa hvyo hivyo ukajaribu kubadilika ili wanawake wakuelewe jua sio muda utaanza kupost threads za #fear womenMara nyingi nimekuwa nalaumiwa sana na mabinti ninaokuwa nao kwenye mahusiano kuwa sipendeki,kwa madai kadhaa ikiwemo kuwa sijali na au sionyeshi kama napenda kweli ile upendo wa kuonekana, japokuwa mara zote huwa najitetea kwamba mimi mahaba ya kinjiwa njiwa sijabarikiwa ndo maana hata njia yangu ya kuwapata sio ile ya tongoza tongoza nyingi, shawishi shawishi kadhaa etc.
Ni nakupenda nafatilia fatilia kidogo na tuvishawishi tudogo sana tu basi na huwa situmii rasimali pesa au muda na siku nyingi huku nikiambiwa hapana zaidi ya mara tatu naamini ni hapana kweli naachana nae, sasa kumbe wao ni tofauti wakiona nimepoa wanakuja wenyewe kwa gia zao na automatical mahusiano yanaanzia hapo.
Sasa kwenye mahusano yenyewe tudumu tusidumu sio jukumu langu tena, apate mimba asiwepate ni sawa tu tukianza mahusiano nitafanya hivi na vile kama wapenzi kweli kweli ila siku nikiambiwa ishu za penzi kuisha huwa hata siumii na tunaishia hapo kweli kweli japo sijawahi kuwa na binti wa watu kwa muda mfupi ni miaka kama miwili mitatu ndo penzi linrudi lilipotoka na linaisha bila ugomvi, mara zote naambiwa mimi ndo sieleweki, sina malengo yoyote kwenye mahusiano.
Nilifunga ndoa kabisa na binti wa watu japokuwa ndoa ilikuwa na taabu kadhaa ikiwemo ufeminist ila siku ananiambia kuwa anaondoka nilimpa jibu moja tu sawa nenda na akaenda kweli hadi leo ni mwaka.
Sasa wadau siwezi kuwa na tatizo la saikorojia kweli? Au sijapata mwanamke ninayempenda kwa dhati, maana nahisi kufanya ukatili sana kwenye haya mambo. Nina watoto 5 wote mama tofauti.
sasa huto tu miaka 20 ndo utuite sie watoto!! mh! haya mpeana ukweli wa watu.Unataka nigombane na keyboard? Nitakuwa na matatizo ya akili. Nimewaachia nyie watoto siku hizi sigombani na mtu..tunapeana ukweli basi
Daah.Niko kama wew
Ila kuna demu mmoja aliwah kunipatia,nilimwambia tuachane(baada ya kulalamika nimemuambukiza U.T.I sugu),alivyokuwa ananipigia ili tuongee tuyamalize,nikamblock,binti aliendelea kunitafuta kwa wiki kama mbili kwa huruma nikaamua kumblokuwa
Penz likarud,nikaenda kwake,akaniambia tupime kwanza ngoma,usiku mzima sikumla kesho asubuh tukapima tukawa tupo sawa,siku hyo sikwenda kulala kwa demu na alikuwa na safar
Alisafir akaenda alipoenda akaanza kunilalamikia kwann siku hyo tulipopima sikwenda kulala kwake kumla,nikamwambia nilisubil aniambie,baadae demu akiwa huko alipokuwa nikashangaa tu mawasiliano yanapungua,alivyotaka kurud akaniomba nauli nikamtumia,lakin alivyorud akarud kimya kimya pasipo kunitaarifu
Siku moja katika kumpigia sm ndo ananiambia karud,nikaona huyu demu hayupo sawa na mim nikaanza kumpotezea,siku moja usiku namuona na mwanaume mwingine,niliteseka mno,demu haeleweki,hapo ndo nilijua kumbe hata mim huwa napenda
nani dogo tuliza zazi hilo babuDogo ushaambiwa hawezi kugombana na upepo.mimi pia nisingempokea ikiwa angekuja kama ulivyomshauri.