mtotomtamuu
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 602
- 1,459
Nimeishia kukusikitikia tuMtoto asiye na baba 40 ya nini sasa...
Tena mpe pole maana kila mtoto ana babaNimeishia kukusikitikia tu
Pole lakini
Tena asamehewe bureTena mpe pole maana kila mtoto ana baba
HaswaaaaaNaona kila mtu anapambana na hali yake
Sihitaji kusamehewa ila twambie baba wa mtoto maana naona mnaweweseka Chibu kaisha sema!atakuwa kama watoto wengine ambao baba zao waliwakana!Nyie timu ndo mmemsababishia mtoto akataliwe mlitaka kujionyesha kwa demu wake kuwa nanyie mmezaa na Chibu...Basi mpelekeni Kwa babake Chibu.Tena asamehewe bure
Sihitaji kusamehewa ila twambie baba wa mtoto maana naona mnaweweseka Chibu kaisha sema!atakuwa kama watoto wengine ambao baba zao waliwakana!Nyie timu ndo mmemsababishia mtoto akataliwe mlitaka kujionyesha kwa demu wake kuwa nanyie mmezaa na Chibu...Basi mpelekeni Kwa babake Chibu.
Mwenye Pesa Ndio tajiri. Waachane na Zari wafanye yao aisle huyu Zari sio mtu mzuri.