Friday Malafyale
JF-Expert Member
- Jan 18, 2017
- 1,811
- 2,916
Amkomoe zari iweje sasa?? Ha ha au anajikomoa mwenyewe, uzaramo hawauachi uswahili swahili wa ajabu ajabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto asiye na baba 40 ya nini sasa...
ningefurah sana ku kwichi kwichi na mobeto... Ila mimba inampendeza kwel tumbo lake linatamanisha kulambwaWewe
Jina hajabadilisha ABDUL LATIF hilo ndilo jina la mtoto kama ilivyo Abdul Kareem, Abdul Azizi nk..Nimesoma mahala na jina eti kabadilisha kwa kuogopa kuumbuka na kutukanwa kwa uongo.. ila anamzimia Zari anamuiga mavazi sana sana tangu zamani hadi akatamani kuwa na bwana mmoja nae.. angekuwa na uwezo wa kuwa na maisha kama yakr angefurahia zaidi ila ndio hivyo tena..
Mtoto asiye julikana ptuuu kumkoma nyani giladi, dustbin apambane na maisha yake zari amuwezee wapi stress free shoboka nikulabue
Hivi ana elimu gani huuu pumbav....!?
Matumbo mengine laana... Kiumbe kisicho na hatia...mateso tangu tumboni.
Mtoto asiye na baba....mateso gani haya!!?
Amkomoe zari iweje sasa?? Ha ha au anajikomoa mwenyewe, uzaramo hawauachi uswahili swahili wa ajabu ajabu
Baba wa mtoto ni nan
Nimecheka hako kakideo.. anajikamua bahati hakuyamwaga kunukisha mnuso huo.. eeeeeh
Amepitwa na wakati Zari amuwezi na kasusiwa na Esma na Mama D leo pia hawajaenda... ha ha haaaa
Angetulia kutochepuka kwa kulipea.. angekuwa bado na baba mtoto wake wa kwanza.. labda.
Jamii yetu imefikia huko ,na mama anaona fahari kila baba na mtoto wakeMtoto asiye na baba 40 ya nini sasa...
Mnhhh!!!![]()
Huyu ndiyo baba wa mtoto.
Hapo ni mond na hamisa.
![]()
Huyu ni mama mkwe wa hamisa yaani Bibi wa mtoto na hapo kapakata kajukuu na kwa nyuma yupo ESMA.
![]()
Huyu ni Aunt wa mtoto kwa tabasamu lotee.
Ikumbukwe kila siku wali kuwa wakienda hospital.
Endeleeni kupambana na hali zenu.
Hamna mtoto asiye na baba
Wa ajabu sanaNimeishia kukusikitikia tu
Pole lakini
leo kavujisha picha yupo na dai kwenye kitanda kilekile anacholala zari na amekumbatiwa vilevile kama zari nadhani ni baada ya baba wa mtoto kula kona kutokuhudhuria 40 ya kijana wao hahahahaha kwahiyo huyu mwanamkekatemwa tena baada ya kutemwa na majizo sasa mond kamwaga uswwahili mwingiiiiiii artaishia kuwa iqubeta za kuwaalishia wanaumeAnafanyakazi gani? Eti video xixen sijui, wanawake wa uswahilini wengi akili zao mbovu kabisa. Atuchagui Mama, lakini unaweza kujuta kuzaliwa na mama wa hivi.
Anamkomoa kwa lipi Haswa?anaikomoa chai kwa kuijaza sukari?kuzalishwa na mume wa mtu unamkomoa mkewe?jamani!