Inanambo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,039
- 2,840
Kamuiga hadi kupiga picha za tumbo la ujauzito. Ila alikuwa na bahati mbaya tumbo alituonyesha peke yake ba mtoto hakuwepo kulibusu au kupet pet. Huyu Binti sijawahi kumpenda mashavu ka kanaswa kibao! Zari Bomba jamani beautiful mama mwenye mkwanja na Watoto wa kishua!Nimesoma mahala na jina eti kabadilisha kwa kuogopa kuumbuka na kutukanwa kwa uongo.. ila anamzimia Zari anamuiga mavazi sana sana tangu zamani hadi akatamani kuwa na bwana mmoja nae.. angekuwa na uwezo wa kuwa na maisha kama yakr angefurahia zaidi ila ndio hivyo tena..