Leo ni 40 ya mtoto wa Hamissa Mobetto fuatilia hapa kujua yanayojiri

Leo ni 40 ya mtoto wa Hamissa Mobetto fuatilia hapa kujua yanayojiri

Nimesoma mahala na jina eti kabadilisha kwa kuogopa kuumbuka na kutukanwa kwa uongo.. ila anamzimia Zari anamuiga mavazi sana sana tangu zamani hadi akatamani kuwa na bwana mmoja nae.. angekuwa na uwezo wa kuwa na maisha kama yakr angefurahia zaidi ila ndio hivyo tena..
Kamuiga hadi kupiga picha za tumbo la ujauzito. Ila alikuwa na bahati mbaya tumbo alituonyesha peke yake ba mtoto hakuwepo kulibusu au kupet pet. Huyu Binti sijawahi kumpenda mashavu ka kanaswa kibao! Zari Bomba jamani beautiful mama mwenye mkwanja na Watoto wa kishua!
 
Domo lenyew baya kiuno kigumu kujipendekez
 
Sasa kaa mkao wa kununa maisha leo Diamondplatnumz anamwagika leo tena clouds fm tune now bado anangojewa aingie studio.
 
Leo ndio ile 40 ya mtoto wa hamissa Mobetto na Diamond Platnumz Prince Dully ambayo inafanyika nyumbani kwa akina Hamissa
2f8ce6e9d9e4d8956e6775f671766e65.jpg



====UPDATES

Huko mambo ni moto moto habari za chini chini inasemekana Hamissa amepania kumkomoa Zarithebosslady
1a22462368b7236fdb874ed0f56a78ca.jpg


Na ili kumuumiza vizuri zarri Hamissa mda sio mrefu alikuwa akinengua nyimbo ya eneka ya baba watoto wake Diamond Platnumz

Pambaneni na hali zenyu Jamani Leo kwao kesho kwenu, maisha hayana formula
 
Back
Top Bottom