Leo ni 40 ya mtoto wa Hamissa Mobetto fuatilia hapa kujua yanayojiri

Leo ni 40 ya mtoto wa Hamissa Mobetto fuatilia hapa kujua yanayojiri

Amkomoe zari iweje sasa?? Ha ha au anajikomoa mwenyewe, uzaramo hawauachi uswahili swahili wa ajabu ajabu
 
Mtoto asiye julikana ptuuu kumkoma nyani giladi, dustbin apambane na maisha yake zari amuwezee wapi stress free shoboka nikulabue
 
Anafanyakazi gani? Eti video xixen sijui, wanawake wa uswahilini wengi akili zao mbovu kabisa. Atuchagui Mama, lakini unaweza kujuta kuzaliwa na mama wa hivi.
 
Si wali taka kiti? Nimewapa hadi kitanda wakalale
 
Hivi ana elimu gani huuu pumbav....!?

Matumbo mengine laana... Kiumbe kisicho na hatia...mateso tangu tumboni.

Mtoto asiye na baba....mateso gani haya!!?
 
Nimesoma mahala na jina eti kabadilisha kwa kuogopa kuumbuka na kutukanwa kwa uongo.. ila anamzimia Zari anamuiga mavazi sana sana tangu zamani hadi akatamani kuwa na bwana mmoja nae.. angekuwa na uwezo wa kuwa na maisha kama yakr angefurahia zaidi ila ndio hivyo tena..
Jina hajabadilisha ABDUL LATIF hilo ndilo jina la mtoto kama ilivyo Abdul Kareem, Abdul Azizi nk..
 
Mtoto asiye julikana ptuuu kumkoma nyani giladi, dustbin apambane na maisha yake zari amuwezee wapi stress free shoboka nikulabue

Hivi ana elimu gani huuu pumbav....!?

Matumbo mengine laana... Kiumbe kisicho na hatia...mateso tangu tumboni.

Mtoto asiye na baba....mateso gani haya!!?

Amkomoe zari iweje sasa?? Ha ha au anajikomoa mwenyewe, uzaramo hawauachi uswahili swahili wa ajabu ajabu

Baba wa mtoto ni nan

Nimecheka hako kakideo.. anajikamua bahati hakuyamwaga kunukisha mnuso huo.. eeeeeh
Amepitwa na wakati Zari amuwezi na kasusiwa na Esma na Mama D leo pia hawajaenda... ha ha haaaa

Angetulia kutochepuka kwa kulipea.. angekuwa bado na baba mtoto wake wa kwanza.. labda.
28aa50a67ba3c829f010b197394834c7.jpg

Huyu ndiyo baba wa mtoto.
Hapo ni mond na hamisa.
68a5b54429cbdc47519e5c74bda74953.jpg

Huyu ni mama mkwe wa hamisa yaani Bibi wa mtoto na hapo kapakata kajukuu na kwa nyuma yupo ESMA.
0ddf32d2312385821cd751162223bf0b.jpg

Huyu ni Aunt wa mtoto kwa tabasamu lotee.
Ikumbukwe kila siku wali kuwa wakienda hospital.
Endeleeni kupambana na hali zenu.
Hamna mtoto asiye na baba
 
Mnhhh!!!

Kwahiyo maana yake!??
Nasubiri kauli.
 
Hongera zake kwa mtoto ni neema ambayo wanawake wengi wanaitamani haijalishi baba mtoto kamkataa cha kushukuru mtoto amezaliwa mimba haikutolewa.
 
Moja kati ya vitu vinavyoturudisha nyuma kimafanikio, ni haya mambo ya wenzetu.

Hiyo ni 40 tu, lakini zitatumika 10 million.

Ngoja nipambane tu na hali Yangu.
 
Anafanyakazi gani? Eti video xixen sijui, wanawake wa uswahilini wengi akili zao mbovu kabisa. Atuchagui Mama, lakini unaweza kujuta kuzaliwa na mama wa hivi.
leo kavujisha picha yupo na dai kwenye kitanda kilekile anacholala zari na amekumbatiwa vilevile kama zari nadhani ni baada ya baba wa mtoto kula kona kutokuhudhuria 40 ya kijana wao hahahahaha kwahiyo huyu mwanamkekatemwa tena baada ya kutemwa na majizo sasa mond kamwaga uswwahili mwingiiiiiii artaishia kuwa iqubeta za kuwaalishia wanaume
 
Anamkomoa kwa lipi Haswa?anaikomoa chai kwa kuijaza sukari?kuzalishwa na mume wa mtu unamkomoa mkewe?jamani!

Mkuu, signature yako ni ujumbe tosha kwa wote 3, Diamond, Zari na Hamisa (+wanawake wote).....

Hamisa, if you only knew!....you got two blank books (wanao) to rewrite your Future, anza sasa.....[HASHTAG]#KnowYourWorth[/HASHTAG]!
 
Kuna watu wanawashwawashwa kisa mtoto wwa hamisa. Wanaopinga sio wa diamond mnalo. Kuna uzi wapo kitandani msiummize vichwa
 
Back
Top Bottom