Leo ni 40 ya mtoto wa Hamissa Mobetto fuatilia hapa kujua yanayojiri

Leo ni 40 ya mtoto wa Hamissa Mobetto fuatilia hapa kujua yanayojiri

mtotomtamuu

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2016
Posts
602
Reaction score
1,459
Leo ndio ile 40 ya mtoto wa hamissa Mobetto na Diamond Platnumz Prince Dully ambayo inafanyika nyumbani kwa akina Hamissa
2f8ce6e9d9e4d8956e6775f671766e65.jpg

====UPDATES

Huko mambo ni moto moto habari za chini chini inasemekana Hamissa amepania kumkomoa Zarithebosslady
1a22462368b7236fdb874ed0f56a78ca.jpg

Na ili kumuumiza vizuri zarri Hamissa mda sio mrefu alikuwa akinengua nyimbo ya eneka ya baba watoto wake Diamond Platnumz
 
Tena asamehewe bure
Sihitaji kusamehewa ila twambie baba wa mtoto maana naona mnaweweseka Chibu kaisha sema!atakuwa kama watoto wengine ambao baba zao waliwakana!Nyie timu ndo mmemsababishia mtoto akataliwe mlitaka kujionyesha kwa demu wake kuwa nanyie mmezaa na Chibu...Basi mpelekeni Kwa babake Chibu.
 
Mwenye Pesa Ndio tajiri. Waachane na Zari wafanye yao aisle huyu Zari sio mtu mzuri.
 
Sihitaji kusamehewa ila twambie baba wa mtoto maana naona mnaweweseka Chibu kaisha sema!atakuwa kama watoto wengine ambao baba zao waliwakana!Nyie timu ndo mmemsababishia mtoto akataliwe mlitaka kujionyesha kwa demu wake kuwa nanyie mmezaa na Chibu...Basi mpelekeni Kwa babake Chibu.

Hata sina team mkuu
 
Nimesoma mahala na jina eti kabadilisha kwa kuogopa kuumbuka na kutukanwa kwa uongo.. ila anamzimia Zari anamuiga mavazi sana sana tangu zamani hadi akatamani kuwa na bwana mmoja nae.. angekuwa na uwezo wa kuwa na maisha kama yakr angefurahia zaidi ila ndio hivyo tena..
 
Nimecheka hako kakideo.. anajikamua bahati hakuyamwaga kunukisha mnuso huo.. eeeeeh
Amepitwa na wakati Zari amuwezi na kasusiwa na Esma na Mama D leo pia hawajaenda... ha ha haaaa

Angetulia kutochepuka kwa kulipea.. angekuwa bado na baba mtoto wake wa kwanza.. labda.
 
Eti jina kabadilisha [emoji23][emoji23][emoji23] mwanae anaitwa abdul latif Naseeb....abdul latif ni jina moja....yaani kuna watu wameumia missa kuzaa na mond utafikiri huyo Zari anawajua zaidi ya kumuona insta.
 
Back
Top Bottom