Mkuu usiamini kila unachokiona kwenye mitandao, laiti watu wangekua wanajua yanayoendelea nyuma ya pazia wangeacha kumtukana hamissa na kumshangaa mond.Sihitaji kusamehewa ila twambie baba wa mtoto maana naona mnaweweseka Chibu kaisha sema!atakuwa kama watoto wengine ambao baba zao waliwakana!Nyie timu ndo mmemsababishia mtoto akataliwe mlitaka kujionyesha kwa demu wake kuwa nanyie mmezaa na Chibu...Basi mpelekeni Kwa babake Chibu.
nahapa nikatika mtandao na wewe siwezi kukuamini!Mkuu usiamini kila unachokiona kwenye mitandao, laiti watu wangekua wanajua yanayoendelea nyuma ya pazia wangeacha kumtukana hamissa na kumshangaa mond.
Mond kamkana mtoto kwenye hadhira ila mtoto anahudumiwa kasoro uhusiano na missa umesitishwa... endeleeni kumsema anawachora tu
Wala sijataka uniamini, ila muda utaongeanahapa nikatika mtandao na wewe siwezi kukuamini!
Mi siamini mpaka daimond atakapothibitishaWala sijataka uniamini, ila muda utaongea
utandawazi ndugu huwezi kuuepuka kamweenzi zetu haya mambo hayakuepo
Yeah ni mtoto wa chibuKwani hyo mtoto ni wa Chibu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimesoma mahala na jina eti kabadilisha kwa kuogopa kuumbuka na kutukanwa kwa uongo.. ila anamzimia Zari anamuiga mavazi sana sana tangu zamani hadi akatamani kuwa na bwana mmoja nae.. angekuwa na uwezo wa kuwa na maisha kama yakr angefurahia zaidi ila ndio hivyo tena..
Hehee hhhNimecheka hako kakideo.. anajikamua bahati hakuyamwaga kunukisha mnuso huo.. eeeeeh
Amepitwa na wakati Zari amuwezi na kasusiwa na Esma na Mama D leo pia hawajaenda... ha ha haaaa
Angetulia kutochepuka kwa kulipea.. angekuwa bado na baba mtoto wake wa kwanza.. labda.
Hawezi thibitisha hata kidogoMi siamini mpaka daimond atakapothibitisha
No ni wa chibukuKwani hyo mtoto ni wa Chibu?
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Anamkomoa kwa lipi Haswa?anaikomoa chai kwa kuijaza sukari?kuzalishwa na mume wa mtu unamkomoa mkewe?jamani!
WeweBaba wa mtoto ni nan