Leo ni 40 ya mtoto wa Hamissa Mobetto fuatilia hapa kujua yanayojiri

Leo ni 40 ya mtoto wa Hamissa Mobetto fuatilia hapa kujua yanayojiri

Sihitaji kusamehewa ila twambie baba wa mtoto maana naona mnaweweseka Chibu kaisha sema!atakuwa kama watoto wengine ambao baba zao waliwakana!Nyie timu ndo mmemsababishia mtoto akataliwe mlitaka kujionyesha kwa demu wake kuwa nanyie mmezaa na Chibu...Basi mpelekeni Kwa babake Chibu.
Mkuu usiamini kila unachokiona kwenye mitandao, laiti watu wangekua wanajua yanayoendelea nyuma ya pazia wangeacha kumtukana hamissa na kumshangaa mond.

Mond kamkana mtoto kwenye hadhira ila mtoto anahudumiwa kasoro uhusiano na missa umesitishwa... endeleeni kumsema anawachora tu
 
nahapa nikatika mtandao na wewe siwezi kukuamini!
 
Nimesoma mahala na jina eti kabadilisha kwa kuogopa kuumbuka na kutukanwa kwa uongo.. ila anamzimia Zari anamuiga mavazi sana sana tangu zamani hadi akatamani kuwa na bwana mmoja nae.. angekuwa na uwezo wa kuwa na maisha kama yakr angefurahia zaidi ila ndio hivyo tena..
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nimecheka hako kakideo.. anajikamua bahati hakuyamwaga kunukisha mnuso huo.. eeeeeh
Amepitwa na wakati Zari amuwezi na kasusiwa na Esma na Mama D leo pia hawajaenda... ha ha haaaa

Angetulia kutochepuka kwa kulipea.. angekuwa bado na baba mtoto wake wa kwanza.. labda.
Hehee hhh
 
Kwa hiyo si tufanyeje? Leo ndo siku ya kuzibua maskio?
 
Back
Top Bottom