Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,367
- 11,604
Nyuma anapo labda mbele ndio hanaa ana kama anapo basi hapafanyi kazi ........(utani)Waswahili wanasema huna mbele Wala nyuma😃
Miaka 25 bado kinda kabisa ulaya miaka 25 unaonekana bado hujabalehe kule.....Bday itakupa mtoto usiikate tamaa
Saa miaka 25 mke wa nini? Kula maisha...
Unayaweka tu kwenye sahani unachukua uma na kisu unakulaMaisha unakulaje mkuu nifundishe na mim
Daah aisee nimecheka kifala sana hapa..usiogope mkuu, wengine tumezaa wajukuu.. tafuta hela jijenge mwenyewe
Vijana wengi, wanakumbana na pressure ya kuanzisha familia mapema ilhali wao wenyewe bado hawajaweza kujimudu. Maisha ya kipindi cha nyuma sio kama ya sasa ( zamani kulikuwa na ujamaa, mtoto anaweza lelewa hata na wazee , wajomba au mashangazi ila sasa hivi kutafutiana lawama ).Daah aisee nimecheka kifala sana hapa..
AaahaaaaNilikuwa sina hili wala lile, ghafla sms kutoka Voda ikaingia kwa simu na kunikumbusha kuwa leo ni Bday yangu
Kwa furaha nikatoka ndani ya chumba changu na kusimama nje ya nyumba ya Mzee Matula, nikapiga kelele kwa sauti kuu "Happy Birthdaaaaay to meeeee". Ile kugeuka nyuma nashangaa majirani wameduwaa
Sikujali, nikaingia zangu magetoni, nikaweka nyimbo za father christmas, muda wa kama dakika 2 hivi nikahisi watu wanafanya kikao hapo nje, ile kusogeza skio kwa umakini, kumbe wananiteta!
Ma Masudi: Huyu kijana amepanga hapa tokea 2021, hata na mimi nimemkuta, kile alichokuwa nacho ndani ndo hicho hicho alichonacho mpaka sasa. Analalia ulimi kama nyoka
Ma Shaban: 😂Uwiii, tokea aachane na kale kabinti kanakojiita Ashura Mabomu, hajawahi kuingiza demu humo ndani, sijui uwaga anajimaliza mwenyewe
Ma Masudi: Usiniambie, ndo maana anakaukiana ngozi jamani, si aseme tu hata mimi nitampa kwa kumsaidia jamani😯
Ma Shabani: Jamaa anaishi maisha ya kitawa sana, hadi leo hii 2025 hana habari ya mke wala mtoto wa kusingizia, atakufa kibudu huyu mbw*
...na mengineyo mengi ya kusikitisha
Ila suala la familia na mtoto limetachi sana.
# Ndoa ni utapeli
Na hili nalo mkalitazame kwa kina
Una ghetto lakini una stress!Nilikuwa sina hili wala lile, ghafla sms kutoka Voda ikaingia kwa simu na kunikumbusha kuwa leo ni Bday yangu