Leo ni: HESHIMA JUU kwa WANAWAKE!

Leo ni: HESHIMA JUU kwa WANAWAKE!

Natafuta suti ya tarehe 13/02 mwenye kuniuzia au kuniazimisha tangaza zabuni.
 
ila senksi ametoa....:
akili kichwani (Today), Babra (Today), bht (Today), Bujibuji (Today), carmel (Today), Fidel80 (Today), FirstLady1 (Today), Geoff (Today), George_Porjie (Today), gkundi (Today), JS (Today), Kaitaba (Today), Katavi (Today), klorokwini (Today), Lily Flower (Today), Mfamaji (Today), MjasiriamaliShupavu (Today), MwanajamiiOne (Today), Next Level (Today), Ngongo (Today), Nguli (Today), NPL (Today), Preta (Today), Pretty (Today), Prodigal Son (Today), Shishi (Today), SMU (Today), Soulbrother (Today), Sumbalawinyo (Today), Tshala (Today), Tumain (Today), Ziondaughter (Today
 
heshima kwa kinadada ni muhimu sana. bikozi kama sio mungu kutuumbia hawa viumbe kutupatia ile huduma muhimu nazani duniani pasingekalika. tungelibaka hata kuku wa kienyeji! hapa nasema senk god kwa kutuumbia hawa viumbe wapole,wakarimu,wenye vibody laini laini.

Si umeona sasa? pamoja na mengine yoooote! Hawa binadamu wenzetu ni kiburudisho kitamu na kizuri kuliko vyote vilivyopo chini ya anga! Wanawake bana! Ahsante Mungu kwa kutuumbia hawa binadamu wenzetu!
 
Halafu wewe! Ngoja nikupotezee ,leo nina Project ya muhimu ngoja nirudi Library.Ntakurudia siku nyingine.

Msamehe bure, huwezi jua kalelewa na mwanamke wa aina gani! Unajua kuna baadhi ya wanawake wanachafua sifa nzuri ya wanawake. Lakini kwa kuwa ni wachache, ujinga wao wala hatuuoni!
 
Msamehe bure, huwezi jua kalelewa na mwanamke wa aina gani! Unajua kuna baadhi ya wanawake wanachafua sifa nzuri ya wanawake. Lakini kwa kuwa ni wachache, ujinga wao wala hatuuoni!
hehehe!
hivi mimi nashukuru umesalimika...
inaonekana umekutwa na makubwa ZAIDI YA MC-LEMA

hizo busara za leo....
hhahahaha
 
hehehe!
hivi mimi nashukuru umesalimika...
inaonekana umekutwa na makubwa ZAIDI YA MC-LEMA

hizo busara za leo....
hhahahaha

Hahaha! Kuna Mpiganaji jana kafumaniwa,
Wapambanaji tukaingia kazini kumsihi mama asamehe
Kwanza mama hakutuelewa,
Nikaomba msaada kwa mama mwenye heshima kuliko wote mbinguni na duniani BIKIRA MARIA kwa kupiga fungu moja la rozari matendo ya uchungu!
Asubuhi jamaa kanipigia Simu KILIMO KWANZA kimedumishwa kama kawaida!
Huoni heshima ya mwanamke hapo?
 
NDO MAANA NILISHAHISI JAMBO TU HAPO!......
maanake haiwezekani ukawa na CONFESSION kama za joji poji....
 
hahaha! Kuna mpiganaji jana kafumaniwa,
wapambanaji tukaingia kazini kumsihi mama asamehe
kwanza mama hakutuelewa,
nikaomba msaada kwa mama mwenye heshima kuliko wote mbinguni na duniani bikira maria kwa kupiga fungu moja la rozari matendo ya uchungu!
asubuhi jamaa kanipigia simu kilimo kwanza kimedumishwa kama kawaida!
Huoni heshima ya mwanamke hapo?
ha ha haaaaaaaa, da we kiboko
 
Off topik zimezidi mbona,.... ama heshima imeanza kushuka jamani eh!!!!
 
ooooooooooouchhhhh mmnh senksi alot my dear ( nani kakwambia mi ni mwanamke😀)

Hahaha! Utawatambua kwa matendo! btw ushasahau makubaliano ya ukwe wetu?
 
Off topik zimezidi mbona,.... ama heshima imeanza kushuka jamani eh!!!!
heshima mbele mkuu!
ofutopik HAZIKWEPEKI
tunajaribu ku-trace grounds za huyu bwana kutusha hii thredi
STUKA MPWA
PANAPOFUKA MOSHI......
 
Back
Top Bottom