Leo ni: HESHIMA JUU kwa WANAWAKE!

Leo ni: HESHIMA JUU kwa WANAWAKE!

Off topik zimezidi mbona,.... ama heshima imeanza kushuka jamani eh!!!!

Ukiangalia kwa makini wanaoenda off topic ni WANAUME. Sasa nadhani umenielewa kwanini nawaheshimu WANAWAKE!
 
Ukiangalia kwa makini wanaoenda off topic ni WANAUME. Sasa nadhani umenielewa kwanini nawaheshimu WANAWAKE!
hehehe!
ngoja nikupigie simu nikiwa lunch.......!wewe si x-pin ninaekufahamu,lazima umeiba aidii ya x-pin ninaemfaham
 
heshima mbele mkuu!
ofutopik HAZIKWEPEKI
tunajaribu ku-trace grounds za huyu bwana kutusha hii thredi
STUKA MPWA
PANAPOFUKA MOSHI......

Hahaha! Hamna Moshi unaofuka hapa!
Hapa ni heshima kwa wanawake
Soma kwenye thread kule
LEO NIKO KIMAADILI ZAIDI!
 
hehehe!
ngoja nikupigie simu nikiwa lunch.......!wewe si x-pin ninaekufahamu,lazima umeiba aidii ya x-pin ninaemfaham

Umesahau sisi watu wa seminari tuliosomea na mambo ya senta of gravite with respekti tu pasenteji ya fakta of sefte huwa tunafiti kila sehemu?
Projekti ya leo: MAADILI ZAIDI!
 
ndo maana nasema kuna tatizo samuwea!....HAIWEZEKANI

Aaah! We nawe bana! Leo hakuna ofu topic! Ni maadili tu hapa! Jana sijakamata valuu, huenda labda brain kumkichwa imepoteza daireksheni! Unajua mi bila valuu, hiki kichwa kinakuwa kama cha Papa Benedikti wa 16.
 
he he heeee.
 
Hahaha! Kuna Mpiganaji jana kafumaniwa,
Wapambanaji tukaingia kazini kumsihi mama asamehe
Kwanza mama hakutuelewa,
Nikaomba msaada kwa mama mwenye heshima kuliko wote mbinguni na duniani BIKIRA MARIA kwa kupiga fungu moja la rozari matendo ya uchungu!
Asubuhi jamaa kanipigia Simu KILIMO KWANZA kimedumishwa kama kawaida!
Huoni heshima ya mwanamke hapo?
Hicho Kilimo kwanza kilidumishwa shingo upande, lazima ili kumfurahisha tu muzee.
 
Aaah! We nawe bana! Leo hakuna ofu topic! Ni maadili tu hapa! Jana sijakamata valuu, huenda labda brain kumkichwa imepoteza daireksheni! Unajua mi bila valuu, hiki kichwa kinakuwa kama cha Papa Benedikti wa 16.
hahahahaha!
I SAID IT!......
 
Nipo baba kabisa leo namgotea Xspin kabisaaaaa..... senksi alot for recognising my strength as a woman!!!! sijui mwenzetu kaamkia upanae upi coz naona aendelee tu kuamkia upande huooooooo

Hahaha! Wewe Shisi wewe!
Unajua kuna siku huwa nalala bila kuutundika mtungi
Busara zote za kina Nyerere zinahamishiwa kichwani mwangu kwa muda.
Najikuta nimeamkia upande wa kuume! Hapo ni maadili kwa kwenda mbele!
 
2010, Mimi & mchumba Xpin tupo kibiashara zaidi.NO VALUU,NO ULANZI.
Hehehheee,mweeeee.Iam very happy.Bht yupo wapi jamani maombi yetu yamejibiwa!!!!
 
......Afanye vyote lakini hilo la kumfumania live na mwanamke mwingine noooooooo!!! Dunia yenyewe ya leo magonjwa nje nje ni big nooooooooo!!!!

Kwa nature ya akina mama ni wepesi wa kusamehe na ni wepesi wa kushawishika. Angalia kwenye mikutano ya walokole, wamejaa akina mama, wameshawishika kuokoka, lakini akikutana na kishawishi kingine ni mwepesi wa kusaha ulokole wake. Tunawapenda kwa hilo, mmetuweka mahala tulipo. Mubarikiwe
 
hehehe kwa mtandao huu:
The Following 35 Users Say Thank You to Chrispin For This Useful Post: Remove Your Thanks akili kichwani (Today), Babra (Today), bht (Today), Bujibuji (Today), carmel (Today), De Novo (Today), eRRy84 (Today), Fidel80 (Today), FirstLady1 (Today), Geoff (Today), George_Porjie (Today), gkundi (Today), JS (Today), Kaitaba (Today), Katavi (Today), klorokwini (Today), Lily Flower (Today), lumbe (Today), Mfamaji (Today), MjasiriamaliShupavu (Today), MwanajamiiOne (Today), Next Level (Today), Ngongo (Today), Nguli (Today), NPL (Today), Preta (Today), Pretty (Today), Prodigal Son (Today), Shishi (Today), SMU (Today), Soulbrother (Today), Sumbalawinyo (Today), Tshala (Today), Tumain (Today), Ziondaughter (Today)

UNAWATENGENEZEA WAPWAAZ MAADUI
 
2010, Mimi & mchumba Xpin tupo kibiashara zaidi.NO VALUU,NO ULANZI.
Hehehheee,mweeeee.Iam very happy.Bht yupo wapi jamani maombi yetu yamejibiwa!!!!

Kwa hapo itabidi ukeshe ukiomba! Manake hapa tayari kiu kinabana!
 
Back
Top Bottom