Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hehehe!Ukiangalia kwa makini wanaoenda off topic ni WANAUME. Sasa nadhani umenielewa kwanini nawaheshimu WANAWAKE!
heshima mbele mkuu!
ofutopik HAZIKWEPEKI
tunajaribu ku-trace grounds za huyu bwana kutusha hii thredi
STUKA MPWA
PANAPOFUKA MOSHI......
ndo maana nasema kuna tatizo samuwea!....HAIWEZEKANIHahaha! Hamna Moshi unaofuka hapa!
Hapa ni heshima kwa wanawake
Soma kwenye thread kule
LEO NIKO KIMAADILI ZAIDI!
hehehe!
ngoja nikupigie simu nikiwa lunch.......!wewe si x-pin ninaekufahamu,lazima umeiba aidii ya x-pin ninaemfaham
ndo maana nasema kuna tatizo samuwea!....HAIWEZEKANI
Aaah! We nawe bana! Leo hakuna ofu topic! Ni maadili tu hapa! Jana sijakamata valuu, huenda labda brain kumkichwa imepoteza daireksheni! Unajua mi bila valuu, hiki kichwa kinakuwa kama cha Papa Benedikti wa 16.
Hicho Kilimo kwanza kilidumishwa shingo upande, lazima ili kumfurahisha tu muzee.Hahaha! Kuna Mpiganaji jana kafumaniwa,
Wapambanaji tukaingia kazini kumsihi mama asamehe
Kwanza mama hakutuelewa,
Nikaomba msaada kwa mama mwenye heshima kuliko wote mbinguni na duniani BIKIRA MARIA kwa kupiga fungu moja la rozari matendo ya uchungu!
Asubuhi jamaa kanipigia Simu KILIMO KWANZA kimedumishwa kama kawaida!
Huoni heshima ya mwanamke hapo?
hahahahaha!Aaah! We nawe bana! Leo hakuna ofu topic! Ni maadili tu hapa! Jana sijakamata valuu, huenda labda brain kumkichwa imepoteza daireksheni! Unajua mi bila valuu, hiki kichwa kinakuwa kama cha Papa Benedikti wa 16.
so means pillazzzz akiacha pombe anakua anatoa VYOINTZZZZ???hahahahaha!
I SAID IT!......
kuna problem samuwea......!so means pillazzzz akiacha pombe anakua anatoa VYOINTZZZZ???
Nipo baba kabisa leo namgotea Xspin kabisaaaaa..... senksi alot for recognising my strength as a woman!!!! sijui mwenzetu kaamkia upanae upi coz naona aendelee tu kuamkia upande huooooooo
Halafu wewe shem,Ntakuona lini?so means pillazzzz akiacha pombe anakua anatoa VYOINTZZZZ???
hahahaaaaa,Halafu wewe shem,Ntakuona lini?
Hahaha! Wewe Shisi wewe!
Unajua kuna siku huwa nalala bila kuutundika mtungi
Busara zote za kina Nyerere zinahamishiwa kichwani mwangu kwa muda.
Najikuta nimeamkia upande wa kuume! Hapo ni maadili kwa kwenda mbele!
hahahaaaaa,
ni-PM kwa maelekezo zaidi
......Afanye vyote lakini hilo la kumfumania live na mwanamke mwingine noooooooo!!! Dunia yenyewe ya leo magonjwa nje nje ni big nooooooooo!!!!