Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nature ya akina mama ni wepesi wa kusamehe na ni wepesi wa kushawishika. Angalia kwenye mikutano ya walokole, wamejaa akina mama, wameshawishika kuokoka, lakini akikutana na kishawishi kingine ni mwepesi wa kusaha ulokole wake. Tunawapenda kwa hilo, mmetuweka mahala tulipo. Mubarikiwe
Hahaha! Ndo anaamka huyu! Mabox bana!
Kwa hapo itabidi ukeshe ukiomba! Manake hapa tayari kiu kinabana!
hahahaaaaaa,2010, Mimi & mchumba Xpin tupo kibiashara zaidi.NO VALUU,NO ULANZI.
Hehehheee,mweeeee.Iam very happy.Bht yupo wapi jamani maombi yetu yamejibiwa!!!!
Wamtumainio Bwana ni kama mlima Sayuni,hawatatikisika wakaa milele daima.Zab 125:1
Kwa MAPENZI mazito niliyonayo kwako,nipo tayari kukesha na kuomba na Kufunga juu hata siku 40.Kwa hapo itabidi ukeshe ukiomba! Manake hapa tayari kiu kinabana!
hehehe kwa mtandao huu:
The Following 35 Users Say Thank You to Chrispin For This Useful Post: Remove Your Thanks akili kichwani (Today), Babra (Today), bht (Today), Bujibuji (Today), carmel (Today), De Novo (Today), eRRy84 (Today), Fidel80 (Today), FirstLady1(Today), Geoff (Today), George_Porjie (Today), gkundi (Today), JS (Today), Kaitaba (Today), Katavi (Today), klorokwini (Today), Lily Flower (Today), lumbe (Today), Mfamaji (Today), MjasiriamaliShupavu (Today), MwanajamiiOne (Today), Next Level (Today), Ngongo (Today), Nguli (Today), NPL (Today), Preta (Today), Pretty (Today), Prodigal Son (Today), Shishi (Today), SMU (Today), Soulbrother (Today), Sumbalawinyo (Today), Tshala (Today), Tumain (Today), Ziondaughter (Today)
UNAWATENGENEZEA WAPWAAZ MAADUI
Naona sasa unaanza kuelewa somo! Slow learner kumbe wewe?
[/SIZE][/B]
Labda huko kwenu, kwetu huku wanawake wanamiliki miradi mikubwa na wanaendesha familia.
duh,Hahaha! Leo hata malijendi wamekong'oli senksi? Wanawake wanaheshiwa bana! Wakijenga uadui hapo wameanzisha vita na wanawake!
hehehe!Naona sasa unaanza kuelewa somo! Slow learner kumbe wewe?
Unaonekana umetafakari sana mkuu. Ni kweli kabisa wanastahili kuwa juu. Hata mbinguni wanawake ndio wengi watakaoingia kuishimilele na Mungu kwa heshima, maana mioyo yao wengi imepondeka sana. Mungu anasamehe, na wao pia. Ndio maana Mungu kawagawia kauwezo ka kubeba kiwanja cha kutengenezea binadamu na kumtunza hadi kieleweke.
Lakini usiombe ukakutana na mwanamke mwenye roho mbaya. Hata mchawi hatari zaidi duniani naambiwa ni mwanamke. Hata hospitali bora ugombane na daktari utasamehewa, lakini ukikorofishana na Nesi kufa ni halali yako. Yupi bora baba wa kambo na mama wa kambo?
Leka
Hapo sawa!