Leo ni: HESHIMA JUU kwa WANAWAKE!

Leo ni: HESHIMA JUU kwa WANAWAKE!

alimjibu hivi;
Yap, kama ifuatavyo;

Mama yako mzazi-Is a woman

WAKE ZAKO ARE a women

Your Zion Daughter(s)-is a woman

MA-BAAMEDI WOTE WA ZEROPUB-are women

secretari wako-is a woman

housegeli wako is a woman

Nyumba ndogo zako zooote-are women!

nae akamwambia hivi:
Well said! Hasa hapo kwenye bold. Noted!

na mimi nasemaje,PLEASE KEEP IT PROPERLY FOR FUTURE USE
 
Mchumba umeanza ofutopik,wataremove senks zao!!!! shauri yako.Lkin ngoja nitoke nikamwangalie Matesha ili uache ofutopik zako.
huyo bolded ndiye chachu ya mimi kuwasha tukutuku wikiendi mpaka basihaya...........
 
kaprojekti kenyewe kame-rely kwenye uwezeshaji wenu...!naona kimyaaa😀

Usijali,Nilipitiwa na stress global crisis.Hivyo nilikuwa naweka kichwa sawa kwanza.Hata hivyo mchumba aliniwakilisha vyema naamini.
 
Mchumba umeanza ofutopik,wataremove senks zao!!!! shauri yako.Lkin ngoja nitoke nikamwangalie Matesha ili uache ofutopik zako.

Hahaha! warimuvu kwa hii yuziful sred? LOL! Haya bana, mwambie Matesha dady yuko bize. Anampenda sana yeye na mama yake!
 
Kiongozi leo tukutane pale nyamachabesi tukandamize serengeti kwa afya ya wanawake. Unaonaje hilo?
Heshima kwetu haiji kwa kuendelea kuharibu kati ya yale ulosema tunavumilia
 
Heshima kwetu haiji kwa kuendelea kuharibu kati ya yale ulosema tunavumilia
heheh!
kumbe upo?
mi nilidhani umeyeya....!
ngoja tudumishe nidhamu kidogo,lol!(mpaka utakaposepa)
 
Toka nitangaze zabuni ya suti kwa ajili ya tukio la February naona kimyaa ngoja nikajicheck Mr.Price
 
Toka nitangaze zabuni ya suti kwa ajili ya tukio la February naona kimyaa ngoja nikajicheck Mr.Price
nilishaongea na carmel,
infact wikiend tutachupa hadi kwenye butiki yake
 
heheh!
kumbe upo?
mi nilidhani umeyeya....!
ngoja tudumishe nidhamu kidogo,lol!(mpaka utakaposepa)

Nitunzieni heshima kwa huyu mwanamama! Namheshimu sana huyu!
 
no comment wanastahili heshima japo mifumodume nayo mh
 
hao unaowapa heshima ni wale wanaomtegemea mwanaume kwa asilimia 95. kwa hiki kizazi cha gender, sikuungi mkono ewe uliyeleta hii mada. kizazi hiki ni jino kwa jino tu, so nenda nao kwa staha, mkuu
 
hao unaowapa heshima ni wale wanaomtegemea mwanaume kwa asilimia 95. kwa hiki kizazi cha gender, sikuungi mkono ewe uliyeleta hii mada. kizazi hiki ni jino kwa jino tu, so nenda nao kwa staha, mkuu
Mziwanda acha ubishi weye!

Mtoa mada kaleta vigezo kwenye thread ambavyo ndo kama basis ya hoja yake, sasa wewe unapoongelea masuala ya utegemezi wa mwanamke, hiyo ni sredi mpya unafungua, na tumeambiwa tusiende off-topic!...stuka!
 
kutokwenda offtopic udikteta wa mada. kwa misingi hiyo maisha yangekuwa very simple
 
Kuna tukio nililiona jana:
Acheni niwape heshima iliyotukuka wanawake woote;
IMAGINE:

ANAKUFUMANIA: Analia, ananyamaza, anasononeka, unambembeleza anakuelewa anakusamehe halafu anasahau!!!

UNAZAA NJE YA NDOA: Anasononeka na kulia sana. Anakuchukia lakini baadaye anakusamehe. Halafu analea mtoto uliyemzaa nje kwa upendo. Kama ni kuchukiwa atachukiwa mtoto, si wewe uliyefanya umalaya!

UNARUDI USIKU WA MANANE UKIWA MTUNGI: Anakukaribisha, anakuandalia chakula, unagoma kula. Anahifadhi chakula alichokuandalia bila manung'uniko.

UNAAMKA ASUBUHI NA MAHANGOVER: Anakuandalia staftahi (saa nyingine unagoma kutumia staftahi yake unakimbilia baa kwenda kunywa Supu na kuzimua. Wala halalamiki!

CHAKULA CHA USIKU: Ushapiga mtungi wako, mtarimbo umesimama, unataka huduma. Unamrukia, hamna maandalizi unamuumiza (Wengine wana mamitarimbo ya kufa mtu, sasa imagine hujamuandaa: LOL) Anavumilia ili akuridhishe. Na kesho yake tena inaweza tokea hii; hana kinyongo!

UNAJIANDAA KWENDA KIBARUANI: Unakuta kashakuandalia viwalo, suruwale imenyooshwa kama ya askari trafiki, shati limepigwa pasi ya maana! Nguo ulizovua jana zimeshalowekwa tayari kwa kufanyiwa usafi! Ulichomuudhi jana kashasahau na kukusamehe!

UNAMPA UJAUZITO: Anauthamini, anautunza anajifungua kwa uchungu, mtoto anakuachia wewe umpe jina, la kwake halimo kabisa kwenye majina atakayotumia mtoto! Na pamoja na uchungu wa kuzaa, bado yuko radhi kukuzalia mtoto mwingine na mwingine tena!

Na mengine meeeeengi sana wanafanyiwa hawa watu lakini WANASAMEHE, WANAVUMILIA! Ni watu muhimu sana hawa watu maishani mwangu!

HIVI INGEKEWA WANAUME TUNAFANYIWA HIVI INGEKUWAJE?

Kwa leo acheni tu niwape heshima zao wanawake wote:

I SALUTE AND LOVE THEM WOMEN!

(NB: Leo niko kimaadili zaidi!)
Chrispin,

Nimeisoma hii posts zaidi ya mara ishirini... hakuna cha kuongeza wla kucomment... Nuff said bro!!!

the post is unique, moral, respective, encouraging, healing, inspiring, educative, reminder, blessing, praising, delighting, exciting... you name it!!!

Surely women are jewels in our lives!!! I dedicate January 2010 for all the women who live with all our sh!ts day in day out bila kuchoka
 
De Novu..
Nashukuru kunisaidia kuweka maneno ya kufaa katika thread ya ndugu yetu Chrispin.... hata mimi nilianza kwa kuangalia kichwa cha thread nika pita bila kusoma zaidi ya mara ishirini maana nilihisi ni mzaha wa huyu mtani wangu LOL.
Nilipoamua kusoma I was speechless!
Chrispin deserves a standing ovation!
 
I wish JF tungekuwa tunatoa medals or special awards kwa posts za namna hii... i would have nominated this one!!!

Posts like these have therapeutic activities in the hearts of others
 
Back
Top Bottom