Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
Mchumba umeanza ofutopik,wataremove senks zao!!!! shauri yako.Lkin ngoja nitoke nikamwangalie Matesha ili uache ofutopik zako.Well said! Hasa hapo kwenye bold. Noted!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchumba umeanza ofutopik,wataremove senks zao!!!! shauri yako.Lkin ngoja nitoke nikamwangalie Matesha ili uache ofutopik zako.Well said! Hasa hapo kwenye bold. Noted!
Yap, kama ifuatavyo;
Mama yako mzazi-Is a woman
WAKE ZAKO ARE a women
Your Zion Daughter(s)-is a woman
MA-BAAMEDI WOTE WA ZEROPUB-are women
secretari wako-is a woman
housegeli wako is a woman
Nyumba ndogo zako zooote-are women!
Well said! Hasa hapo kwenye bold. Noted!
huyo bolded ndiye chachu ya mimi kuwasha tukutuku wikiendi mpaka basihaya...........Mchumba umeanza ofutopik,wataremove senks zao!!!! shauri yako.Lkin ngoja nitoke nikamwangalie Matesha ili uache ofutopik zako.
kaprojekti kenyewe kame-rely kwenye uwezeshaji wenu...!naona kimyaaa😀
Mchumba umeanza ofutopik,wataremove senks zao!!!! shauri yako.Lkin ngoja nitoke nikamwangalie Matesha ili uache ofutopik zako.
Heshima kwetu haiji kwa kuendelea kuharibu kati ya yale ulosema tunavumiliaKiongozi leo tukutane pale nyamachabesi tukandamize serengeti kwa afya ya wanawake. Unaonaje hilo?
duh!Usijali,Nilipitiwa na stress global crisis.Hivyo nilikuwa naweka kichwa sawa kwanza.Hata hivyo mchumba aliniwakilisha vyema naamini.
heheh!Heshima kwetu haiji kwa kuendelea kuharibu kati ya yale ulosema tunavumilia
nilishaongea na carmel,Toka nitangaze zabuni ya suti kwa ajili ya tukio la February naona kimyaa ngoja nikajicheck Mr.Price
Mziwanda acha ubishi weye!hao unaowapa heshima ni wale wanaomtegemea mwanaume kwa asilimia 95. kwa hiki kizazi cha gender, sikuungi mkono ewe uliyeleta hii mada. kizazi hiki ni jino kwa jino tu, so nenda nao kwa staha, mkuu
Mziwanda acha ubishi weye!
Mtoa mada kaleta vigezo kwenye thread ambavyo ndo kama basis ya hoja yake, sasa wewe unapoongelea masuala ya utegemezi wa mwanamke, hiyo ni sredi mpya unafungua, na tumeambiwa tusiende off-topic!...stuka!
Chrispin,Kuna tukio nililiona jana:
Acheni niwape heshima iliyotukuka wanawake woote;
IMAGINE:
ANAKUFUMANIA: Analia, ananyamaza, anasononeka, unambembeleza anakuelewa anakusamehe halafu anasahau!!!
UNAZAA NJE YA NDOA: Anasononeka na kulia sana. Anakuchukia lakini baadaye anakusamehe. Halafu analea mtoto uliyemzaa nje kwa upendo. Kama ni kuchukiwa atachukiwa mtoto, si wewe uliyefanya umalaya!
UNARUDI USIKU WA MANANE UKIWA MTUNGI: Anakukaribisha, anakuandalia chakula, unagoma kula. Anahifadhi chakula alichokuandalia bila manung'uniko.
UNAAMKA ASUBUHI NA MAHANGOVER: Anakuandalia staftahi (saa nyingine unagoma kutumia staftahi yake unakimbilia baa kwenda kunywa Supu na kuzimua. Wala halalamiki!
CHAKULA CHA USIKU: Ushapiga mtungi wako, mtarimbo umesimama, unataka huduma. Unamrukia, hamna maandalizi unamuumiza (Wengine wana mamitarimbo ya kufa mtu, sasa imagine hujamuandaa: LOL) Anavumilia ili akuridhishe. Na kesho yake tena inaweza tokea hii; hana kinyongo!
UNAJIANDAA KWENDA KIBARUANI: Unakuta kashakuandalia viwalo, suruwale imenyooshwa kama ya askari trafiki, shati limepigwa pasi ya maana! Nguo ulizovua jana zimeshalowekwa tayari kwa kufanyiwa usafi! Ulichomuudhi jana kashasahau na kukusamehe!
UNAMPA UJAUZITO: Anauthamini, anautunza anajifungua kwa uchungu, mtoto anakuachia wewe umpe jina, la kwake halimo kabisa kwenye majina atakayotumia mtoto! Na pamoja na uchungu wa kuzaa, bado yuko radhi kukuzalia mtoto mwingine na mwingine tena!
Na mengine meeeeengi sana wanafanyiwa hawa watu lakini WANASAMEHE, WANAVUMILIA! Ni watu muhimu sana hawa watu maishani mwangu!
HIVI INGEKEWA WANAUME TUNAFANYIWA HIVI INGEKUWAJE?
Kwa leo acheni tu niwape heshima zao wanawake wote:
I SALUTE AND LOVE THEM WOMEN!
(NB: Leo niko kimaadili zaidi!)
Chrispin,
Nimeisoma hii posts zaidi ya mara ishirini... hakuna cha kuongeza wla kucomment... Nuff said bro!!!
the post is unique, moral, respective, encouraging, healing, inspiring, educative, reminder, blessing, praising, delighting, exciting... you name it!!!
Surely women are jewels in our lives!!! I dedicate January 2010 for all the women who live with all our sh!ts day in day out bila kuchoka