Rwanda yenyewe mwezi toshaRwanda tunakula pilau leo karibu.
Ndio dini ilivyoelekeza,heshimu imani za wenzako,kama huna cha kuchangia piga kimya.
تقبل الله منا ومنكمHapa nilipo ni sherehe kwa kwenda mbele,mapochopocho kama yote.
Eid Mubarak.
Inanihusu sabab ilibidi nisiende kazin..hata hivyo sijaenda vile vileKaa kwenye dini ambayo tarehe za Sikukuu zilisha pangwa na Mzungu kwani kuna mtu kakuita kwenye dini nyingine? Unatokwa povu kwa sikukuu ya dini nyingine kwani umelazimishwa?
أمين ياربيتقبل الله منا ومنكم
Acha ubishi mkuu, hapa uganda tunaufinya leo hii ..Acha kupotosha wapi mwezi umeonekana hapa TANZANIA? Kenya wao EID ni leo? Somalia, COMMORO nk acha unafiki. DINI YETU HAITAKI UNAFIKI.
FUNGENI AU FUNGULIENI KWA KUONA MWEZI.
Acha kupotosha wapi mwezi umeonekana hapa TANZANIA? Kenya wao EID ni leo? Somalia, COMMORO nk acha unafiki. DINI YETU HAITAKI UNAFIKI.
FUNGENI AU FUNGULIENI KWA KUONA MWEZI.
Acha hasira za kukimbilia ushoga ambao hata hapa kwetu wapo na hamna anayewagusa. Makonda alithubutu na serikali ikamkana. Ushoga na ufirauni ni tabia za mtu binafsi . Siyo ya jamii fulani. Ndiyo maana hata huko Uarabuni watu wanafirana pamoja na sheria kali.Nini maana ya ustaarabu? tafsiri ya Ustaarabu ni pana sana,kila jamii ina ustaarabu wake na kila jamii inaona ustaarabu wake ni bora kuliko ustaarabu wa jamii zingine,
Mfano huyo mzungu unayeamini ndio kakufundisha ustaarabu yeye anachamba kwa tissue ila wewe unachamba kwa maji,kwanini usichambe kwa tissue paper kama huyo aliyekufundisha ustaarabu?
Huyo mzungu ana ustaarabu wa Mwanaume kuoa Mwanaume mwenzake au kuolewa na mwanaume mwenzake basi na wewe iga na huo ustaarabu wa mzungu.
je usipo onekana itakuwajeAcha kupotosha wapi mwezi umeonekana hapa TANZANIA? Kenya wao EID ni leo? Somalia, COMMORO nk acha unafiki. DINI YETU HAITAKI UNAFIKI.
FUNGENI AU FUNGULIENI KWA KUONA MWEZI.
Kama huyajui ya waislamu waachie wenyeweAcheni uzushi na uzandiki. Nyie mmeuona huo mwezi
Nawe hujui dini,toa maelezo kamiliAcha kupotosha wapi mwezi umeonekana hapa TANZANIA? Kenya wao EID ni leo? Somalia, COMMORO nk acha unafiki. DINI YETU HAITAKI UNAFIKI.
FUNGENI AU FUNGULIENI KWA KUONA MWEZI.
Uchache wa elimu.watanzania hawaabudu waarabu hawaangalii mwezi wa mwarabu uarabuni wanaangalia mwezi unaoandama Tanzania sio uarabuni
kulikua na wingu la mvua likazuiya kuona mwezi.Acheni uzushi na uzandiki. Nyie mmeuona huo mwezi
Ukubwa wa mtu haupimwi kwa umri bali kwa busara alizonazo,unaweza ukawa na miaka milioni ila ukaonekana ni mtoto wa juzi kwa akili yako ilivyo,Acha hasira za kukimbilia ushoga ambao hata hapa kwetu wapo na hamna anayewagusa. Makonda alithubutu na serikali ikamkana. Ushoga na ufirauni ni tabia za mtu binafsi . Siyo ya jamii fulani. Ndiyo maana hata huko Uarabuni watu wanafirana pamoja na sheria kali.
Kwenye hoja ya ustaarabu labda kama wewe ni mtoto wa juzi sawa. Lakini kwetu sisi tulioishi miaka ya 1960s mpaka leo. Tunajua walikotutoa . Waafrica waliishi kama wanyama porini (mwenye nguvu ndiyo mwenye haki). Na hata jamii yenye nguvu ndiyo ilikuwa na haki.
Elimu hii unayoona imeleta ustaarabu na technology chanzo chake ni mzungu mmissionary. Kataa ukubali . Sheria hizi zilizotambua haki za binaadamu , chanzo chake ni mzungu
At least wenzetu wa Uganda, Rwanda na bila kuwasahau waarabu wa Jordan, Syria, UAE na Yemen leo kitu cha pilau kinalikaAcha kupotosha wapi mwezi umeonekana hapa TANZANIA? Kenya wao EID ni leo? Somalia, COMMORO nk acha unafiki..
Mtajua wenyewe na hiyo Dini yenu. Sisi wauza kiti moto tunasubiria tu mfungue biashara yetu iendelee maana imedorora sana tokea muanze mfungo siku 30 zilizopita.Huu ni upekee mwingine wa Taifa letu katika kuendesha Mambo. Leo Waisalam Dunia nzima wanasherehekea kummalizika kwa Ramadan.
Lakini hapa Tanzania mwezi haukuandama hivyo Idd ni kesho.
Idd Mubaraka.