City Of Lies
Platinum Member
- Sep 8, 2011
- 6,073
- 7,997
sasa kama ni kuuona, kesho wametangaza ndio sikukuu na bado haujaonekana.Kwa mfano mwezi wa kuanza kwa mfungo,Mwezi ulionekana Saudi Arabia,Kuwait,Qatar,Bahrain ila Oman haukuonekana na hawakufunga,wakaanza kufunga siku ya pili ikiwa wapo nyuma kwa siku moja na wenzao,
Ndio Dini imeamrisha hivyo,fungeni kwa kuuona mwezi na fungueni kwa kuuona mwezi.
mufti katumia kigezo kipi?