papaayenga
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 764
- 504
Bora tunatumia Gregorian Calendar,tungekuwa tunatumia hii mifumo ya Shaban mara mwezi Ramadhan ingekuwa fujo tupu na mkanganyik😵na kama leo haijulikani ni tarehe ngapi
Gregoriani ni UTOPOLO haina dalili za msingi zinazo endana na upatikaniji wa siku.