Leo ni Idd El Fitr Dunia nzima isipokuwa Tanzania

Leo ni Idd El Fitr Dunia nzima isipokuwa Tanzania

Unafiki gani mkuu....Uganda,Kenya ,Rwanda mwezi umeandama lakini kwetu bado...!
Hakuna ulikoonekana soma taarifa yao utaelewa.
Acha kuchafua dini za watu mpumbavu wewe.
 
Sijui hata unaongea Nini...hivi Mwezi ukionekana Rwanda,Kenya na Uganda bila Shaka hata Tanzania unaonekana labda kuwe na mawingu au Ukungu!@ Don
Mwezi haujaonekana UGANDA bali wao wamefata mwandamo wa kimataifa (Saudi Arabia)
 
Huu ni upekee mwingine wa Taifa letu katika kuendesha Mambo. Leo Waisalam Dunia nzima wanasherehekea kummalizika kwa Ramadan.

Lakini hapa Tanzania mwezi haukuandama hivyo Idd ni kesho.

Idd Mubaraka.

Dunianzima una uhakika?
 
je usipo onekana itakuwaje
Usipoonekana sheria iko wazi kuwa kufunga ni siku 29 au 30 tu hivyo kama zimefika siku 30 na mwezi hujauona basi unafungulia na lazima ujue kuwa hutouona kwa kutokana na hali mbaya ya hewa lkn ndani ya siku 30 mwezi lazima uonekane.
 
Weka Picha.
Labda kauona huo.....
IMG-20210512-WA0019.jpg
 
Bakwata wamefuata nyayo za TFF...

Wamepokea maagizo kutoka serikalini...
Bakwata ndo wanazuia mwezi usionekane?
Wapo vyema kama wanauwezo wakuzuia mwezi mpaka nchi jirani uonekane siku wanayotaka
 
Acha kupotosha wapi mwezi umeonekana hapa TANZANIA? Kenya wao EID ni leo? Somalia, COMMORO nk acha unafiki. DINI YETU HAITAKI UNAFIKI.

FUNGENI AU FUNGULIENI KWA KUONA MWEZI.
Dini yenu haitaki unafki kwani nyie ni nani haswa msiwe Wanafki?
 
Kwani mwezi wenyewe hautaki sherehe jamani?

Ukuda hadi hewan juu huko
 
Kwa maneno yako hayo ndio Mtume s.a.w akasema
FUNGENI KWA K U O N E K A N A kwa Mwezi
Hii inamaanisha mtu yeyote atakae uona mwezi sehemu yeyote ulimwenguni atakua amewakilisha wale ambao hawa kuona
na unaposema FUNGENI KWA K U O N A mwezi umempa mfungaji SHURTI ILI AFUNGE LAZIMA AWE AMEUONA MWEZI.

Tulia kidogo punguza munkari tuliza akili angalia tofauti ya KUUONA na KUONEKANA utaona tofauti yake
UsilaImishe watu wa amini unavotaka sio ulimwenguni wengine tuna amini maeneo yanayo karibiana

Yani nchi karibu 5 zinazo kuzunguka zisiuone mwezi kunahajagani ya kulazimisha na kumbe mwezi upo tu?
 
UsilaImishe watu wa amini unavotaka sio ulimwenguni wengine tuna amini maeneo yanayo karibiana

Yani nchi karibu 5 zinazo kuzunguka zisiuone mwezi kunahajagani ya kulazimisha na kumbe mwezi upo tu?

Nakuomba uosome Uislam uislam huwa hauna mipaka ya kijiografia uislam ni wa kiulimwengu hivyo ndivyo alivyo uacha mtume wetu Mohammad s.a.w
Halafu haina haja ya kuingia ktk malumbano ya kielimu kama huna elimu ya dini
 
Back
Top Bottom