NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
haya yote mtakatifu amechukua sasa weka na la dunia ili rekodi itimie,maana huyu aweza kufa bila kulichukua lile kubwa kuliko makombe yote.
Majikombe hayo....mama mtindi unalo angalau moja au unaumwa wivu tu?
Hizi ndio PERSONAL ACHIEVEMENTS ambazo mtu huzipata kwa jasho lake na sio kwa kuwa tu wewe ni Mbrazil
samahani kwa usumbufu ukishayaonesha yooote haya weka na la dunia kombe kubwa kuliko yote
Ballon D'or hizo, sawa Ganga Chumba?
Aweke na la copa America
thuubutu yake...
akiweka hilo ntajing'ata mgongoni
Gang Chomba uko wapi kiongozi?
Gang Chomba uko wapi kiongozi?
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] hii kikwara mingine ya uzeeni shida sanaMkuu naomba usiniharibie siku muhimu kabisa katika maisha yangu...plz
Naomba tuheshimiane.
Weka na Kombe la Dunia na CopaAmerica mkuu...
Majikombe hayo....mama mtindi unalo angalau moja au unaumwa wivu tu?
Hizi ndio PERSONAL ACHIEVEMENTS ambazo mtu huzipata kwa jasho lake na sio kwa kuwa tu wewe ni Mbrazil
Messi hana FIFA World CupWeka na Kombe la Dunia na CopaAmerica mkuu...
Best Player of All time
Hebu tuacheni ushabiki wakitoto jamani..Ukimweka pending mzee D10s.... hakuna aliyemfikia KING hadi sasa,, na ataendelea kutawala soka hadi pale atakapostaafu ..then hakutakuwa na mwingine wakurithi mkoba wake baada ya karne! wakati huyo GAUNI wenu hata top 20 hayumo,