Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume na Nabii wa mwisho wa Soka

Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume na Nabii wa mwisho wa Soka

silverware_display_image.jpg

Majikombe hayo....mama mtindi unalo angalau moja au unaumwa wivu tu?

xin_1621206220834546167318.jpg
lionelmessi20090903trophy_205x285.jpg
messi-holds-best-player-trophy.jpg

Hizi ndio PERSONAL ACHIEVEMENTS ambazo mtu huzipata kwa jasho lake na sio kwa kuwa tu wewe ni Mbrazil
haya yote mtakatifu amechukua sasa weka na la dunia ili rekodi itimie,maana huyu aweza kufa bila kulichukua lile kubwa kuliko makombe yote.
 
Nilishasema na nitaendelea kusema, si mimi tu bali duniani kote....DIEGO MARADONA......MESSI......ZIDANE, Huyo mkata mauno wako hata top 20 hayumo kabisaaa na hapo ubishe sasa!
 
Nakubaliana kwamba huyu ni MTUME wa soka duniani kwa kweli!!
 
Hebu tuacheni ushabiki wakitoto jamani..Ukimweka pending mzee D10s.... hakuna aliyemfikia KING hadi sasa,, na ataendelea kutawala soka hadi pale atakapostaafu ..then hakutakuwa na mwingine wakurithi mkoba wake baada ya karne! wakati huyo GAUNI wenu hata top 20 hayumo,
 
Moja ya wachezaji wa aina yake waliowahi kutokea ulimwenguni, Ronaldinho na Zidane sijawahi kuona mfano wao, hakuna cha Maradona wala Pele
 
Hebu tuacheni ushabiki wakitoto jamani..Ukimweka pending mzee D10s.... hakuna aliyemfikia KING hadi sasa,, na ataendelea kutawala soka hadi pale atakapostaafu ..then hakutakuwa na mwingine wakurithi mkoba wake baada ya karne! wakati huyo GAUNI wenu hata top 20 hayumo,

Nikweri mkuu
 
Back
Top Bottom