NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
haya yote mtakatifu amechukua sasa weka na la dunia ili rekodi itimie,maana huyu aweza kufa bila kulichukua lile kubwa kuliko makombe yote.![]()
Majikombe hayo....mama mtindi unalo angalau moja au unaumwa wivu tu?
![]()
![]()
![]()
Hizi ndio PERSONAL ACHIEVEMENTS ambazo mtu huzipata kwa jasho lake na sio kwa kuwa tu wewe ni Mbrazil