Leo ni leo asemaye kesho muongo. Polepole kuongea na Watanzania saa mbili kamili usiku! Usikose!

Polepole ni mpango wa Mungu,
 
kunawatu wanamchukulia jamaa poa,polepole anaijua ccm kuliko saa100,kasimu na mipango kwahiyo kama ni kweli basi hatunabudi kusema amazake ama zaccm
 
Hakuna cha maana HP atasema zaidi ya kuendelea kutoa Ultimatum tu.

Chochote atakachosema hakitakuwa kigeni kwenye masikio ya watanzania hasa wakazi wa Jamii forum maana mengi yamesemwa na Yoga kule mtaa wa Dark days.

Narudia tena, anayoyajua HP mengi watanzania wanayajua na kinachotakiwa watanzania wachukue hatua tu.

Ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
 
Faza naona siku hizi kuna namna kichwa imeacha mawenge..
Ngoja tusubiri tuone.

Wahuni sio watu wa kuwachekea, vitu hivi muhimu, vinawashitua hata wale mapoyoyo CCM kindakindaki, hawajui chochote kasi kubujikwa machozi tubna kusifia πŸ€£πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…