Leo ni leo asemaye kesho muongo. Polepole kuongea na Watanzania saa mbili kamili usiku! Usikose!

Hahahahaaha.

Hata El alikuwa mpango wa Mungu, Kuna siku tutasema hata Rostam ni mpango wa Mungu.
Kuna kipindi ilisemwa JK ni chaguo cha Mungu.

Ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
kila mtu ana ubaya kwa majira ya ubaya, na kila mtu ni mzuri kwa nyakati zake. Kwa sasa hivi Sauti za kina Gwajima na Polepole ni sauti za wananchi. Wako kinyume na wahuni watesi wa Taifa hili. hivyo waungwe mkono.

siku Rostam akiwa kinyume na alivyo sasa hivi tutamkubali. akiachana na genge la wapiga nchi na kuhamia kwa wananchi tutampokea. Kukosa kupo ndio maana kuna kutubu.
 
Wanabodi,

Saa hizi ni saa 12 :00 asubuhi, kumekucha na makucha yake!

Siku ya leo, tarehe 21,leo ndio siku ya siku, imebatizwa jina la ”The Twenty First to remember!”, yaani ni ”Ishirini na moja ya kukumbukwa!”。

Saa mbili kamili usiku,yule Mwamba Humphey Polepole anapanda live kupitia mitandao ya kijamii kushusha live nondo za kufa mtu!。

Inasemekana leo Polepole anakuja na nyundo kukomelea msumari wa mwisho kwenye,naniliu ya chama chake,baada ya hapo ndipo safari ya tumpeleke tumpeleke ianze!

Hii ya leo sii ya kukosa!
Usikose!

Paskali。

Rejea za Polepoke
Kuna wengi wanamjua Polepole kijuu juu, mimi nimeisha muanzishia nyuzi tatu humu jf kumhusu
  1. Humprey Polepole: Kinachoendelea BMK is Not Right", Live on Ch.10
  2. Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!
  3. Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?

View: https://youtu.be/SYJjy4zg7ssMsikilize hapa anavyoongea kama Mwalimu Nyerere

21st to remember mkata switch atawahi sana leo
 
kila mtu ana ubaya kwa majira ya ubaya, na kila mtu ni mzuri kwa nyakati zake. Kwa sasa hivi Sauti za kina Gwajima na Polepole ni sauti za wananchi. Wako kinyume na wahuni watesi wa Taifa hili. hivyo waungwe mkono.

siku Rostam akiwa kinyume na alivyo sasa hivi tutamkubali. akiachana na genge la wapiga nchi na kuhamia kwa wananchi tutampokea. Kukosa kupo ndio maana kuna kutubu.

Una uhakika gani? Kama Gwajima na HP sio wapigania maslahi au wako upande wa genge pinzani la wanaowaita wahuni wanataka watumie wananchi tu kama silaha?..

Siwezi kumuamini mnufaika wa CCM eti nikaamini leo amekuwa malaika baada tu yakutoka kwenye mfumo au maslahi yake kukatwa baada ya mfumo kubadirika.

Siwezi kumuamini kiumbe yeyote alikuwa chini ya awamu ya tano zaidi ya Marehemu JPM mwenyewe, hawa wengine walikuwa wanaicheza ngoma tu ya JPM ili nao waaminikee lakini hawana uhalisia wala dhamira ya JPM.

Ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
 
Leo Polepole usibakishe kitu maliza kabisa na baada ya siku chache Gwajima naye anakuja kumwaga upupu wajikune hadi wachubuke mwili mzima tumechoka ujinga wa kikundi cha wahuni kuendelea kuifisadi nchi yetu.
 
Una uhakika gani? Kama Gwajima na HP sio wapigania maslahi au wako upande wa genge pinzani la wanaowaita wahuni wanataka watumie wananchi tu kama silaha?..

Siwezi kumuamini mnufaika wa CCM eti nikaamini leo amekuwa malaika baada tu yakutoka kwenye mfumo au maslahi yake kukatwa baada ya mfumo kubadirika.

Siwezi kumuamini kiumbe yeyote alikuwa chini ya awamu ya tano zaidi ya Marehemu JPM mwenyewe, hawa wengine walikuwa wanaicheza ngoma tu ya JPM ili nao waaminikee lakini hawana uhalisia wala dhamira ya JPM.

Ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.

wote wanaimba wimbo wa no reforms, no election na free Lissu ambao ndio wimbo wa waTanzania hasa waTanganyika.

wanalitetea taifa. kama ni kubomoka ibomoke ccm ila taifa libaki salama- By Polepole H.
 
Wanabodi,

Saa hizi ni saa 12 :00 asubuhi, kumekucha na makucha yake!

Siku ya leo, tarehe 21,leo ndio siku ya siku, imebatizwa jina la ”The Twenty First to remember!”, yaani ni ”Ishirini na moja ya kukumbukwa!”。

Saa mbili kamili usiku,yule Mwamba Humphey Polepole anapanda live kupitia mitandao ya kijamii kushusha live nondo za kufa mtu!。

Inasemekana leo Polepole anakuja na nyundo kukomelea msumari wa mwisho kwenye,naniliu ya chama chake,baada ya hapo ndipo safari ya tumpeleke tumpeleke ianze!

Hii ya leo sii ya kukosa!
Usikose!

Paskali。

Rejea za Polepoke
Kuna wengi wanamjua Polepole kijuu juu, mimi nimeisha muanzishia nyuzi tatu humu jf kumhusu
  1. Humprey Polepole: Kinachoendelea BMK is Not Right", Live on Ch.10
  2. Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!
  3. Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?

View: https://youtu.be/SYJjy4zg7ssMsikilize hapa anavyoongea kama Mwalimu Nyerere

Ila ajue humuhumu watakuja kutokea mashahidi wa ndani ya kibuyu.
 
Tatizo hata likisemwa lolote ni He Say / She Say........; Kama taifa hatuhitaji kusubiri mambo / ufisadi utokee ili baadae mtu aje kusema au mwingine kuandika kitabu kuomba msamaha kwamba alichofanya kilikuwa ndivyo sivyo....

Cha maana ni kuwepo na transparency kwa lolote linalohusu UMMA na Mali za UMMA ili ijulikane kabisa wakati yanafanyika kama yana Tija na Taifa....; Mfano Mikataba hii inayosainiwa willy nilly, (Sisi wanadau tunajua au tutafahamishwa wakati akija mwingine na kuvunja na kushitakiwa hivyo kulipa na fidia, ili mwingine akija awarudishie tuliowanyanganya)?
 
Nimemwambia wife Leo tuwe na wine, na tupo wa 2 tu, sasa alete habari za story
 
Tatizo hata likisemwa lolote ni He Say / She Say........; Kama taifa hatuhitaji kusubiri mambo / ufisadi utokee ili baadae mtu aje kusema au mwingine kuandika kitabu kuomba msamaha kwamba alichofanya kilikuwa ndivyo sivyo....

Cha maana ni kuwepo na transparency kwa lolote linalohusu UMMA na Mali za UMMA ili ijulikane kabisa wakati yanafanyika kama yana Tija na Taifa....; Mfano Mikataba hii inayosainiwa willy nilly, (Sisi wanadau tunajua au tutafahamishwa wakati akija mwingine na kuvunja na kushitakiwa hivyo kulipa na fidia, ili mwingine akija awarudishie tuliowanyanganya)?
👍

Ova
 
kila mtu ana ubaya kwa majira ya ubaya, na kila mtu ni mzuri kwa nyakati zake. Kwa sasa hivi Sauti za kina Gwajima na Polepole ni sauti za wananchi. Wako kinyume na wahuni watesi wa Taifa hili. hivyo waungwe mkono.

siku Rostam akiwa kinyume na alivyo sasa hivi tutamkubali. akiachana na genge la wapiga nchi na kuhamia kwa wananchi tutampokea. Kukosa kupo ndio maana kuna kutubu.
Ngoja Tusubiri tuone 😳 !
Msoga KARMA IS FOR REAL ! 😳🙄🤷🏿‍♂️ !
 
surely?
Polepole ni mwamba?
mwamba unaojieleza kwa hofu tena ukiwa mafichoni?

si afadhali hata mpina na malisa undio wanaweza kua wamba MWALIMU paskali 🐒
Japo wewe ni chawa mtiifu , ila leonngoja nikuunge mkono

polepole anakua mwamba ambaye anavizia chama chake kifanye mabadiliko kisipo fanys ataeleza madudu yao. --- huyu hawezi kua mwamba ni tapeli

Licha ya anayoyaongea kua ni ya kweli kwa kiasi chake
 
Kishoka wa Rostam mbona unatetea sana ?

Simtetei mtu bila sababu, sipendi uongo kwa jambo ninalolijua.
sipo hapa kumtetea Rostam nipo hapa kupinga uongo kwa jambo ninalolijua.

Siwezi kuwa kishoka wa mtu, namshukuru Mungu nipo na taaluma yangu adimu duniani inanisaidia kuendesha maisha yangu perfectly.

ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
 
Back
Top Bottom