Leo ni leo asemaye kesho muongo. Polepole kuongea na Watanzania saa mbili kamili usiku! Usikose!

Wa
Wanabodi,

Saa hizi ni saa 12 :00 asubuhi, kumekucha na makucha yake!

Siku ya leo, tarehe 21,leo ndio siku ya siku, imebatizwa jina la ”The Twenty First to remember!”, yaani ni ”Ishirini na moja ya kukumbukwa!”。

Saa mbili kamili usiku,yule Mwamba Humphey Polepole anapanda live kupitia mitandao ya kijamii kushusha live nondo za kufa mtu!。

Inasemekana leo Polepole anakuja na nyundo kukomelea msumari wa mwisho kwenye,naniliu ya chama chake,baada ya hapo ndipo safari ya tumpeleke tumpeleke ianze!

Hii ya leo sii ya kukosa!
Usikose!

Paskali。

Rejea za Polepoke
Kuna wengi wanamjua Polepole kijuu juu, mimi nimeisha muanzishia nyuzi tatu humu jf kumhusu
  1. Humprey Polepole: Kinachoendelea BMK is Not Right", Live on Ch.10
  2. Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!
  3. Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?

View: https://youtu.be/SYJjy4zg7ssMsikilize hapa anavyoongea kama Mwalimu Nyerere

wahuni watazima mitandao
 
HP alikuwa mtu mdogo sana kujua classified issues za ndani ya mifumo.
Kikubwa anachojua ni kilekile walio wengi wanakijua mitaani.

Hakufika level ya kuyajua yasiyotakiwa kujulikana, na kama angeyajua hayo sidhani kama angepata hata huo muda ya kuretard.

Wahusika wana akili nyingi kuliko zake, angakuwa ana madhara asingepata hata nafasi ya kwenda Cuba, wangeshamalizana naye, kutupiwa ndoano kwenye umri na uzoefu wake kwenye game ilikuwa rahisi sana.

ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
Unajiliwaza sana..vp umeshikwa pabaya?
 
Wanabodi,

Saa hizi ni saa 12 :00 asubuhi, kumekucha na makucha yake!

Siku ya leo, tarehe 21,leo ndio siku ya siku, imebatizwa jina la ”The Twenty First to remember!”, yaani ni ”Ishirini na moja ya kukumbukwa!”。

Saa mbili kamili usiku,yule Mwamba Humphey Polepole anapanda live kupitia mitandao ya kijamii kushusha live nondo za kufa mtu!。

Inasemekana leo Polepole anakuja na nyundo kukomelea msumari wa mwisho kwenye,naniliu ya chama chake,baada ya hapo ndipo safari ya tumpeleke tumpeleke ianze!

Hii ya leo sii ya kukosa!
Usikose!

Paskali。

Rejea za Polepoke
Kuna wengi wanamjua Polepole kijuu juu, mimi nimeisha muanzishia nyuzi tatu humu jf kumhusu
  1. Humprey Polepole: Kinachoendelea BMK is Not Right", Live on Ch.10
  2. Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!
  3. Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?

View: https://youtu.be/SYJjy4zg7ssMsikilize hapa anavyoongea kama Mwalimu Nyerere

Kaka Pasko, je atasema mambo ya kuua chama ambacho yeye bado ni mwanachama? Kuna logic hapo? Au atatoka kwanza leo ktk chama ndio aanze kukiua? Vinginevyo ni muendelezo wa chuki na fitna za kisiasa, all in all tusubiri tusikie analo taka sema
 
Wanabodi,

Saa hizi ni saa 12 :00 asubuhi, kumekucha na makucha yake!

Siku ya leo, tarehe 21,leo ndio siku ya siku, imebatizwa jina la ”The Twenty First to remember!”, yaani ni ”Ishirini na moja ya kukumbukwa!”。

Saa mbili kamili usiku,yule Mwamba Humphey Polepole anapanda live kupitia mitandao ya kijamii kushusha live nondo za kufa mtu!。

Inasemekana leo Polepole anakuja na nyundo kukomelea msumari wa mwisho kwenye,naniliu ya chama chake,baada ya hapo ndipo safari ya tumpeleke tumpeleke ianze!

Hii ya leo sii ya kukosa!
Usikose!

Paskali。

Rejea za Polepoke
Kuna wengi wanamjua Polepole kijuu juu, mimi nimeisha muanzishia nyuzi tatu humu jf kumhusu
  1. Humprey Polepole: Kinachoendelea BMK is Not Right", Live on Ch.10
  2. Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!
  3. Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?

View: https://youtu.be/SYJjy4zg7ssMsikilize hapa anavyoongea kama Mwalimu Nyerere

Ninakazia:

NRNE na mazagazaga yake ni mpango wa Mungu. Nani ajuaye kuwa Polepole leo, hatutajua walipo wenzetu waliopotea na yote ya uvunguni?
 
CHAI MAHARAGE NA POLEPOLE 😃😃
NYAKATI ZILE HATA YEYE ALIKUWA UPANDE WA UOVU,MACHO YAKE HAYAKUONA YA KUWA KUNA WATU KWENYE VIROBA!(WAMETUPWA),SHORTLY SI MSAFI,ATUJUZE NANI ALIKUWA AKIFANYA YALE?/ KWA NINI ALIYAKALIYA KIMYA,
#UKITULIZA AKILI UTAGUNDUA WOTE MANTA NYAHIIII
Nimetuliza akili nimegundua wajinga kama wewe ni hatari zaidi kuliko POLEPOLE ambae ameamua kubadilika kulingana na mahitaji ya wakati tuliopo sasaivi! Ila wajinga kama wewe ambao wanajikuta wasaidizi wa Mungu kutaka kuhukumu mambo yaliyopita ilihali hapa tulipo hatuko salama na yatupasa tuungane wewe unaleta porojo zako eti alifanya nini huko zamani mara akwambie kwanini? Ili iweje?akikwambia kua alikosea itakufaa nini wew au mimi sasaivi?
 
Records matter!,mkuu,huwezi kujiibukia tu huko utokako,unaropoka ropoka tu,kwa upumbavu tukakuamini KIJINGA,tunaangalia rekodi zako,je zipoje? je huyu mtu ni safi kweli, ngoja tuone faili zake,ndivyo dunia ilivyo!
 
Vyombo vya dola haviko chini ya chama. Viko chini ya serikali.

Mwenye dhamana ya kulinda wananchi na mali zao ni serikali na vyombo vya dola.

Uchafu wote unaoendelea kwa sasa ni serikali iliyo madarakani. Chama ni political vehicle tu ya kumpata Rais. Kwa katiba yetu mtu akiwa Rais anakuwa juu ya chama.

Na humfanyi kitu. Akikohoa tu wote mnaingia uvunguni. Akiagiza Crocodiletooth uchinjwe utachinjwa tu.
Chama tawala kilipaswa kuona hili na kukemea kwani ndicho chenye RAIS!
 
Haijaisha mpaka iishe!!
 
Attachments

  • downloadfile.png
    downloadfile.png
    164.9 KB · Views: 24
Back
Top Bottom