Leo ni leo ndani ya Kampala; pale Zari kule Hamisa Mobetto

Status
Not open for further replies.
Yani huyu mtoto alivyo mrembo hivi akinipa sikatai, aaah na zama mpaka....

Kwa ufupi Mrembo Hamisa anamnyima Zari usingizi..........Na sasa atakuwa kachanganyikiwa kabisa kwani Ticket za kwenye Party ya Hamisa zimeshauzwa zote "Sold Off"
Achana na boss wangu wewe
 
Na hapo white party ni party ya zari kwa asilimia 100% ila ile ya hamisa hana hata asilimia moja hapo zaidi ya kutumika kama pampazi. Zari ni role model wa wengi,leo insta imefurika picha za zari hata haters wanampost kwa lazima maana bila zari pages zao zinadoda
Zari kapost ticket sold out.
Masaa 10 baadae tununu naye kaiga. Yani zari amekua role model wa tununu
Sijui likoje hilo li mdada, uswahili mwingi sana
 
habari za jion.. Kama kawaida nipo hapa kampala leo kuna party mbili. Ya zari na ya hamisa halafu zote zinafanyika kumbi jirani ni shida aaah


Zarina hassan ( the boss lady)
Huwezi kumlinganisha na mabetroo hata kidogo

Wanaume wanafaidi na chib dangote kapata acha ajilie Kwa kijiko akitekenye kinembe kisawa sawa

Kibumbu inogileee
 
Reactions: BAK
Kwa hili Hamisa nampongeza. Tumia nafasi ikuingizie pesa. Nadhani somo la Ruge kuhusu fursa alihitimu vizuri. Ndio mambo yanayotakiwa sasa. Lazima challenges ziwepo, hiwezi ukapiga pesa peke yako uganda lazima mgawane na Hamisa. Napendekeza siku Zari akifanya SA Hamisa atie timu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…