PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
Ukiwa na mke mwenzio kama Hamisa unahama mcahana kweupe.
Wazaramo hawana dogo hawa. Hayo ndio maisha wanayoyaweza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa na mke mwenzio kama Hamisa unahama mcahana kweupe.
Eti Girls power, wtf is going on this stupid womanHiyo party ya Hamisa inahusu nini hasa
Achana na boss wangu weweYani huyu mtoto alivyo mrembo hivi akinipa sikatai, aaah na zama mpaka....
![]()
Kwa ufupi Mrembo Hamisa anamnyima Zari usingizi..........Na sasa atakuwa kachanganyikiwa kabisa kwani Ticket za kwenye Party ya Hamisa zimeshauzwa zote "Sold Off"
Hamisa kimempeleka nini huko Uganda kama sio uchokozi tuHamisa ni noma sana
Hakika ninameneja wa ukweli sana
Kwahiyo inaweza kumsadia Dai kubadili mawazo?Hamisa party yake washauza ticket zote
Zari kapost ticket sold out.Kwahiyo inaweza kumsadia Dai kubadili mawazo?
Sijui likoje hilo li mdada, uswahili mwingi sanaZari kapost ticket sold out.
Masaa 10 baadae tununu naye kaiga. Yani zari amekua role model wa tununu
Zari kapost ticket sold out.
Masaa 10 baadae tununu naye kaiga. Yani zari amekua role model wa tununu
Sijui likoje hilo li mdada, uswahili mwingi sana
habari za jion.. Kama kawaida nipo hapa kampala leo kuna party mbili. Ya zari na ya hamisa halafu zote zinafanyika kumbi jirani ni shida aaah
ww ni Boss wako mm nataka nimfanye DearAchana na boss wangu wewe