Leo ni leo ndani ya Kampala; pale Zari kule Hamisa Mobetto

Leo ni leo ndani ya Kampala; pale Zari kule Hamisa Mobetto

Status
Not open for further replies.
Luga anajua? sio aende kuiaibisha nchi anavyofanyiwa interview
 
25016664_1758222481138707_8426560487101038592_n.jpg
25018919_2024671864471803_1420423105867677696_n.jpg
25011177_828526377349980_935085857184940032_n.jpg
25012677_1511851172264696_7869615112707899392_n.jpg
 
Hamisa kakonda Jamani she's acting like everything is damn OK Kumbe deep down inside she is dying maskini maana wabongo wanakutia moyo mchana usiku unapambana mwenyew
Yaan hadi huruma, anajilazimisha kushindana na Zari.
 
Hamisa hawezi kushindana na zari mwenye pesa yake
unaakili mno ujue kushindana na tajiri utaishia kujidharirisha maana nasikia zari kafanya show yake kama kawaida na hamisa kulidoda.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom