Leo ni leo ndani ya Kampala; pale Zari kule Hamisa Mobetto

Status
Not open for further replies.
Ninamgawa
Same day, same country, same time. Partying with enemies the rich gang esp. King Lawrence Being sporsored by enemy that is Don zella. Maana Don zella tangu zamani wanabifu ya kuua mtu na Zari. Naona imeenda level nyingine. Ukienda YouTube ndo tajua beef lao. Ila Hamisa ni nyokoo. Alivyo tinga Entebe kauliza kuhusu zari. Kasema I don't know her [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mi simtaki [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Zari alimnyali b4 safi sana ameonyesha kuwa anaishi maisha yake.
 
Alisema hamjui[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ashindane au asishindane tunampenda mswahili mwe zetu the mother of two.
Jana kashamfunika. Red was everywhere mafuriko kidogo yatuzowe. Upande mwengine Diamond kamdanganya bibi kwamba ataenda. Rita nae cjui anazeeka vibaya katuma post ya 2014 hakwenda. White party imepoua kama mchuzi uliokosa mbilimbi. The only star who was there ni Rommy Jones ambao anatembelea nyota ya Mondi. Harusi kanyiwa na Mond. Mke analelewa na Mondi. May be plus Wilson Bugembe side cock wa Zari [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Hivi huyo wiliam ni kwa zari hebu nipe ubuyu hapo
Eti Hamisa asiende Ug kisa masikio popo wao khaa,mbona ye anakuja Tz kama kwake na hatusemi,,matanzania kwa kushobokea wageni hayajambo
 
Patamu hapo.
 
Angekuwa hashindani na mtu angeifanyia party yake Dar au hata kama ni Kampala angetafuta maeneo ya mbali si pua na mdomo.

Hamisa hashindani na mtu njyie ndio mnashindanisha
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…