alikuwa george foreman pambano liliitwa rumble in the jungleKatika kuiprote Zaire duniani Mobutu aliitisha shindano la ngumi kati ya Mohamed Ali na mpiganaji mwingine mshindi aliondoka na $ 50 million huo ulikuwa mwaka 1976. Dunia nzima ilitune TV kuangalia ngumi za Kinshasa
Duu!! Watu mna madini aisee!!Mobutu alipenda sana kuvaa kofia makoti, kutumia fenicha na vifaa vingi vilivyotengenezwa kwa ngozi ya chui na alijitanabaisha kuwa na roho ya chui (Leopard spirit) kwa namna alivyoogopwa na kuwadhibiti vilivyo wapinzani wake wa kisiasa, baada ya kuondolewa madarakani na Laurent Kabila, Wakongomani walimpa heshima Kabila na kumpa hadhi iitwayo IKIBINDA NKOY yaani muuaji wa chui.
Sent using Jamii Forums mobile app
kalai Boeing...Usisahau alikuwa anaenda kunyoa Ubelgiji na watoto wake walikuwa wanasoma Ufaransa kila Weekend wanarudi.
Madikteta na Nyerere hazikupanda Samwel doe alivyokuja bongo Nyerere hakwenda airport kumpokea wala nnMobutu na Nyerere walikuwa hawapatani.
Ahahah funguken banaHuyu dikteta naona kama ana ufanano fulani na faru john
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kwenye VITZ mdundo sio mzuri mkuu
Nmependa huo mstari wa kuwa viongozi wengi wa karba ya Hitler huingia madarakani kwa gia ya matatzo ya mwananchi na nguvu ya umma!!! Yalobaki ni historiaKwa Mara ya kwanza Hitler aliingia kutawala kupitia katiba ya vyama Vingi. Lakini baada ya kuwa chancellor alisigina katiba iliomuingiza madarakani na kuwatesa wote aliohisi ni wapinzani wake . Alitumia udhaifu wa uchumi wakati huo kuzoa kura za wajerumani na baadae akawashawishi kuwa adui wa mjerumani ni myahudi na akaanza kuwatesa na kuwaua sana kutumia gas chamber na aliua wayahudi Milioni 8. Inasemekana alikuwa a good orator na inspirational speaker, ambayo ni good indicator ya madictator wengi. Alikuwa ana slogan anasema Germany must be great again na kulaumu viongozi wa ujerumani walioshindwa vita ya kwanza ya dunia. akaandaa vita ya pili ya dunia the rest is history. Ndiyo maana nikimsikia RAIs yule Kule akiwazuia waislamu wasiingie kwake napata mzizimo. Na wananchi wanamwamini na kumpa kura bila kujua kuwa ni vigumu kubadili mkondo wa dunia .mabadiliko huwa hayazuiwi . LA sivyo dola ya warumi isingefutika baada ya karne nyingi za kutamba Au hata dola ya Mwingereza (an empire where the sun never sets) lakini wako wapi. Kiongozi anayeingia kwa gear ya kukomboa jamii yake ni MTU wa kutahadhari sana, Mara nyingi wanaisambaratisha .Kiongozi Kazi yake ni kuunganisha nguvu za wa na nchi akitumia inclusive method ya kushirikisha mawazo ya RAIA wote bila kujali itikadi . Nadhani sio enzi za kupata Masiha wa kutatua matatizo ya jamii karne na technoljia hii tuliyo nayo
Fuatilia uchaguzi uliofanyika mara baada ya vita ya kwanza ya duniaHitler alishindwa uchaguzi
Samsung S8
Alipigwa na nani mkuuMke wake wa kwanza Antonella alikufa baada ya kupigwa mpaka kupoteza fahamu akiwa njamzito. Ingawaje aliwahishwa hospital Belgium lakini mauti yalimfika
Na mume wakeAlipigwa na nani mkuu
Aliifadhi mabaki ya mwili pale gbadolite, coz alikua rafiki yake ,mobutu hakupenda mwili wa habyarmana uzikwe wakati ule coz aliamini jamaa aliuawa na walio madarakani, ilipofika 1997 aliagiza yapelekwe ndjili airport ili yaende rwanda bt yalikaa hpo for more than 2 weeks,ikaonekan kna ugumu kuyapeleka ndipo akaagiza wahindi wayachome moto yale mabaki na kuyatejeteza kabisaKwanini majivu ya Habyermana yalihifadhiwa na Mobutu?
Asante sanaAliifadhi mabaki ya mwili pale gbadolite, coz alikua rafiki yake ,mobutu hakupenda mwili wa habyarmana uzikwe wakati ule coz aliamini jamaa aliuawa na walio madarakani, ilipofika 1997 aliagiza yapelekwe ndjili airport ili yaende rwanda bt yalikaa hpo for more than 2 weeks,ikaonekan kna ugumu kuyapeleka ndipo akaagiza wahindi wayachome moto yale mabaki na kuyatejeteza kabisa
Zaire haihusiani na familia ya mobutu,mama yake mobutu aliitwa "mama yemo" kuna hospitali pale kinshasa mobutu aliijenga na kuiita mama yemo kama heshima kwa mama yake,turudi maana ya "ZAIRE" imetokana na mto ulioitwa "nzele" maana yake mto unaomeza mito mingine,wa portugal walishindwa kutamka "nzele" wakasema "zaire" so likawa jina zaire,mobutu alipoingia na sera yake ya africanisation akaiita nchi ZAIRE akimaanisha mto mkubwa sana unaomeza mito midogo,watoto wake pia kama jean paul alibsdilishwa jina na kuitwa nyiwa,wengine ni ngawali,kongulu,nzaga,ndokula,giala ,manda n.kKweli nimeipenda sana wanajamvi. Samahani naomba kujua kuwa, kuna uhusiano wowote kati ya jina Zaire na mwanafamilia ya Mobutu sababu nimewahi kuambiwa eti "jina Zaire lilikuwa la mama yake Mobutu na alipoingia madarakani akaiita nchi jina hilo kwa kumgrolify mamake". Naombeni ufafanuzi wa hili ndugu
Na wao hawakumpenda,mobutu hakuelewana na nyerere kiivo coz yy alikua mtu wa ku spend,hata ukianglia picha zake nyingi ni za rangi,nyerere wakati huo ilikua black and white ,afu mobutu alikua na vision kushinda nyerere (fatilia manifestion of nsele)Madikteta na Nyerere hazikupanda Samwel doe alivyokuja bongo Nyerere hakwenda airport kumpokea wala nn
Sent using Jamii Forums mobile app