Leo ni miaka 20 tangu kufariki kwa Rais Mobutu Seseseko Kukungedu Wanzabanga wa Zaire ya Zamani(Congo DRC)

Leo ni miaka 20 tangu kufariki kwa Rais Mobutu Seseseko Kukungedu Wanzabanga wa Zaire ya Zamani(Congo DRC)

Mobutu alipenda sana kuvaa kofia makoti, kutumia fenicha na vifaa vingi vilivyotengenezwa kwa ngozi ya chui na alijitanabaisha kuwa na roho ya chui (Leopard spirit) kwa namna alivyoogopwa na kuwadhibiti vilivyo wapinzani wake wa kisiasa, baada ya kuondolewa madarakani na Laurent Kabila, Wakongomani walimpa heshima Kabila na kumpa hadhi iitwayo IKIBINDA NKOY yaani muuaji wa chui.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duu!! Watu mna madini aisee!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli nimeipenda sana wanajamvi. Samahani naomba kujua kuwa, kuna uhusiano wowote kati ya jina Zaire na mwanafamilia ya Mobutu sababu nimewahi kuambiwa eti "jina Zaire lilikuwa la mama yake Mobutu na alipoingia madarakani akaiita nchi jina hilo kwa kumgrolify mamake". Naombeni ufafanuzi wa hili ndugu
 
Kwa Mara ya kwanza Hitler aliingia kutawala kupitia katiba ya vyama Vingi. Lakini baada ya kuwa chancellor alisigina katiba iliomuingiza madarakani na kuwatesa wote aliohisi ni wapinzani wake . Alitumia udhaifu wa uchumi wakati huo kuzoa kura za wajerumani na baadae akawashawishi kuwa adui wa mjerumani ni myahudi na akaanza kuwatesa na kuwaua sana kutumia gas chamber na aliua wayahudi Milioni 8. Inasemekana alikuwa a good orator na inspirational speaker, ambayo ni good indicator ya madictator wengi. Alikuwa ana slogan anasema Germany must be great again na kulaumu viongozi wa ujerumani walioshindwa vita ya kwanza ya dunia. akaandaa vita ya pili ya dunia the rest is history. Ndiyo maana nikimsikia RAIs yule Kule akiwazuia waislamu wasiingie kwake napata mzizimo. Na wananchi wanamwamini na kumpa kura bila kujua kuwa ni vigumu kubadili mkondo wa dunia .mabadiliko huwa hayazuiwi . LA sivyo dola ya warumi isingefutika baada ya karne nyingi za kutamba Au hata dola ya Mwingereza (an empire where the sun never sets) lakini wako wapi. Kiongozi anayeingia kwa gear ya kukomboa jamii yake ni MTU wa kutahadhari sana, Mara nyingi wanaisambaratisha .Kiongozi Kazi yake ni kuunganisha nguvu za wa na nchi akitumia inclusive method ya kushirikisha mawazo ya RAIA wote bila kujali itikadi . Nadhani sio enzi za kupata Masiha wa kutatua matatizo ya jamii karne na technoljia hii tuliyo nayo
 
Nmependa huo mstari wa kuwa viongozi wengi wa karba ya Hitler huingia madarakani kwa gia ya matatzo ya mwananchi na nguvu ya umma!!! Yalobaki ni historia
 
Niongezee vtu mkuu,jeshi halikua dhaifu kiivo bt kulikua na usaliti wa majenerali wakubwa kama vile gen MAHELE ambaye alikua akitoa taarifa za mipango ya siri kwa kina kabila (aliuawa baada ya kujulikana ) ,na kuhusu mwezi mobutu alipokimbia zaire alipona assassination attempts tatu ,

1.kuna siku akiwa ndjili airport ndege yake ikiwa tayari kupaa kuna maafisa wa DSP (kikosi maalumu cha ulinzi wake) walitega ground to air missile likiwa kwenye shamba moja karibu na airport ili ndege ikiw inapaa waitungue,bahati nzuri head of security wa mobutu (colonel motoko) alipata taarifa hii akaamuru ndege ibadili muelekeo ikiwa kwny tarmac hvo mobutu akapona na wale waliokua shambani na gari la bomu walipata ajali na kufa wakat wakikimbilia ndege
2 .siku hiyo hiyo alifika kawele (nyumbani kwake) sasa kuna huyu general anaitwa nzimbi ,alimtuma mwanajeshi mmoja aende pale kawele na bomu la kujitoa muhanga ili amlipue mobutu,jamaa kufika pale nyumbani kwa mobutu getini akajitambulisha(alikua member wa DSP) AKAULIZA mobutu alipo coz nyumba ya mobutu huez jua alipo ilikua na vyumba vingi vingne vya siri akaelekezw aingie ndani,kufika ndani ya geti akielekea kweny nyumba alidakwa na bomu lake mwilini so mobutu akapona kifo
3. Siku moja usiku wa manane(tarehe nimesahau) mobutu aligongewa mlango na head of security wake akashauliwa watoloke hali ni mbaya mobutu akakataa katu katu akasema "mchukueni mama enu mwende naye,mimi niacheni nifie hapa" ilibidi walinzi wake wambebe kwa nguvu mgongoni (hakuweza kutembea) na kumuwahisha moanda international airport (aliujenga yy kijijini kwake) sasa kufka airport wakampandisha kwenye ndege ya mizigo akiw na gari lake coz ndege yake ilikwama brazaville ,wakati ndege hili (lilikua linatumiwa na savimbi) linapaa waliingia uwanjani kikosi kizima cha DSP wakitaka kumkama mobutu (walikua walinzi wake) walivoona anaondoka wakarusha hand grenade likalipuka karibu na ndege bt haikualibika wakaendelea kurusha risasi ambpo baadhi ziliipata ndege bt ilifsnikiwa kupaa mpaka TOGO
 
Kwanini majivu ya Habyermana yalihifadhiwa na Mobutu?
Aliifadhi mabaki ya mwili pale gbadolite, coz alikua rafiki yake ,mobutu hakupenda mwili wa habyarmana uzikwe wakati ule coz aliamini jamaa aliuawa na walio madarakani, ilipofika 1997 aliagiza yapelekwe ndjili airport ili yaende rwanda bt yalikaa hpo for more than 2 weeks,ikaonekan kna ugumu kuyapeleka ndipo akaagiza wahindi wayachome moto yale mabaki na kuyatejeteza kabisa
 
Asante sana
 
Kweli nimeipenda sana wanajamvi. Samahani naomba kujua kuwa, kuna uhusiano wowote kati ya jina Zaire na mwanafamilia ya Mobutu sababu nimewahi kuambiwa eti "jina Zaire lilikuwa la mama yake Mobutu na alipoingia madarakani akaiita nchi jina hilo kwa kumgrolify mamake". Naombeni ufafanuzi wa hili ndugu
Zaire haihusiani na familia ya mobutu,mama yake mobutu aliitwa "mama yemo" kuna hospitali pale kinshasa mobutu aliijenga na kuiita mama yemo kama heshima kwa mama yake,turudi maana ya "ZAIRE" imetokana na mto ulioitwa "nzele" maana yake mto unaomeza mito mingine,wa portugal walishindwa kutamka "nzele" wakasema "zaire" so likawa jina zaire,mobutu alipoingia na sera yake ya africanisation akaiita nchi ZAIRE akimaanisha mto mkubwa sana unaomeza mito midogo,watoto wake pia kama jean paul alibsdilishwa jina na kuitwa nyiwa,wengine ni ngawali,kongulu,nzaga,ndokula,giala ,manda n.k
 
Madikteta na Nyerere hazikupanda Samwel doe alivyokuja bongo Nyerere hakwenda airport kumpokea wala nn

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wao hawakumpenda,mobutu hakuelewana na nyerere kiivo coz yy alikua mtu wa ku spend,hata ukianglia picha zake nyingi ni za rangi,nyerere wakati huo ilikua black and white ,afu mobutu alikua na vision kushinda nyerere (fatilia manifestion of nsele)
 
Huyu mtemi alioa identicle twins

threesome_m.jpg

Mobutu-Sese-Seko.jpg
Capture-d%E2%80%99e%CC%81cran-2015-09-14-a%CC%80-12.05.46.png
 
Back
Top Bottom