kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Hebu tuone ya kwako nyingi mkuupesa kidogo sana hio isikuumize roho😎
Hebu tuone ya kwako nyingi mkuupesa kidogo sana hio isikuumize roho😎
Siamini kama hizi pesa ni zakeWaifu material omeona husband material huyo...usikae kizembe
Mimi sina pesa kiukweli, sijui wenzangu mnatoaga wapi hela 😎Nyuzi kama hizi kuna watu hutawaona wakichangia wanapita kama wanaaga maiti!
Cc: Mbaga Jr
Poor Brain
waifu material
Binti wa zamani
birion 10Hebu tuone ya kwako nyingi mkuu
88.5Wakubwa wa jukwaa kwema?
Leo ni mwisho wa mwezi, naamini wafanyakazi wengi mshapokea salary.
Vipi leo akaunti yako inasomaje?View attachment 3425927
Hongera yakobirion 10
ipo raki kuna shinda? [kwa lafudhi ya kikurya]Wakubwa wa jukwaa kwema?
Leo ni mwisho wa mwezi, naamini wafanyakazi wengi mshapokea salary.
Vipi leo akaunti yako inasomaje?View attachment 3425927
🤣 🤣 Ningechangia ila nitatekwa nikionyesha!Nyuzi kama hizi kuna watu hutawaona wakichangia wanapita kama wanaaga maiti!
Cc: Mbaga Jr
Poor Brain
waifu material
Binti wa zamani
Juzi nilichelewa kuingia kazini ,mfanyakazi mwenzangu akanipigia anasema boss kajihimu mapema hivyo nijitahidi kuwahi maana anapita kila idara .YAKUZ YAVUZView attachment 3426107
1200Wakubwa wa jukwaa kwema?
Leo ni mwisho wa mwezi, naamini wafanyakazi wengi mshapokea salary.
Vipi leo akaunti yako inasomaje?View attachment 3425927
Nimechka kinoma noma an 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🫵🫵🫵🫵🫵 we jamaa ujue jau sana...Juzi nilichelewa kuingia kazini ,mfanyakazi mwenzangu akanipigia anasema boss kajihimu mapema hivyo nijitahidi kuwahi maana anapita kila idara .
Mimi huyo kwenye kacorolla kangu ni mwendo wa yakuz yavuz ,yakuz yavuz .
Nafika nasmbiwa boss kasema nikifika nimuone naenda ofisini kwake ni mwendo yakuz yavuz yakuz yavuz na kusema asinifokee kweli alinikaribisha kistaarabu na kuniuliza vipi mbona unazingua niliinama chini nikasema yakuz ysvuz yakuz yavuz ,aniache niende ,ila hapo haikuwa akaniwashia moto nikawa namkemea kimoyo moyo yakuz yavuz yakuz yavuz aniteme mimi .
Nilipata shida ila yavuz na yakuz walikuwa karibu na mimi
Nilivaa suit nyeusi kakaNimechka kinoma noma an 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🫵🫵🫵🫵🫵 we jamaa ujue jau sana...
Kwahyo leo umeleta ushuhuda kuwa YAVUZ YAKUZ YAVUZ YAKUZ haijaleta manufaa chanya kwako...
Oky mkuu labda uniambie ulikua umevaa nguo gani... Kama katika nguo zako hakuna rangi ya kijani daaah mkuu uwezi toboa hata kidogo mana YAKUZ ni kijana na YAVUZ ni nyekundu
Nimecheka hadi Masikioni nasikia yakuz,yavuz yakuz yavuzJuzi nilichelewa kuingia kazini ,mfanyakazi mwenzangu akanipigia anasema boss kajihimu mapema hivyo nijitahidi kuwahi maana anapita kila idara .
Mimi huyo kwenye kacorolla kangu ni mwendo wa yakuz yavuz ,yakuz yavuz .
Nafika nasmbiwa boss kasema nikifika nimuone naenda ofisini kwake ni mwendo yakuz yavuz yakuz yavuz na kusema asinifokee kweli alinikaribisha kistaarabu na kuniuliza vipi mbona unazingua niliinama chini nikasema yakuz ysvuz yakuz yavuz ,aniache niende ,ila hapo haikuwa akaniwashia moto nikawa namkemea kimoyo moyo yakuz yavuz yakuz yavuz aniteme mimi .
Nilipata shida ila yavuz na yakuz walikuwa karibu na mimi
Msimu huu wa kununua mazao na vifaa vya ujenzi. Wazabuni wanatunisha akaunti wasaidiwe kukusanya mzigoWakubwa wa jukwaa kwema?
Leo ni mwisho wa mwezi, naamini wafanyakazi wengi mshapokea salary.
Vipi leo akaunti yako inasomaje?View attachment 3425927
Hiyo ndo shida mkuu...Nilivaa suit nyeusi kaka