Kama vile yeye haamini kuwa wee ni wife material🤣🤣🤣🤣Siamini kama hizi pesa ni zake
Kama vile yeye haamini kuwa wee ni wife material🤣🤣🤣🤣Siamini kama hizi pesa ni zake
😂😂😂awe na imani, hizo pesa zake zitakuwa mikono salamaKama vile yeye haamini kuwa wee ni wife material🤣🤣🤣🤣
Zitakuwa salama mpaka pale utakaposema kuwa anakoroma usiku hivyo umeshindwa unataka talaka😂😂😂awe na imani, hizo pesa zake zitakuwa mikono salama
Kukoroma siyo tatizo kwangu, asiwe na wasi wasi kabisa labda akicheatZitakuwa salama mpaka pale utakaposema kuwa anakoroma usiku hivyo umeshindwa unataka talaka
Ila hakuna KUKATA TAMAA na tunatoboa..
Kwani akicheat pesa zinaondoka au delibolo linapungua size....wee akicheat nawe kacheat lakini kwenye ndoa hakuna kutokaKukoroma siyo tatizo kwangu, asiwe na wasi wasi kabisa labda akicheat
Sitaki kucheat nisije nikanogewa nje nikadai talakaKwani akicheat pesa zinaondoka au delibolo linapungua size....wee akicheat nawe kacheat lakini kwenye ndoa hakuna kutoka