Leo ni ndoa ya Diamond na Zari?

Seriously? Dah mbona haijawa habari kubwa sana?
Duh hatimaye kamuoa

Walianza kurusha rusha juu ya hili, na jana usiku Babu Tale kupitia snapchat ya Zari alisikika akimuita Bibi harusi mtarajiwa na wanabeba jiko. Zari alikuwa anatengenezwa nywele usiku wa saa sita jana.
 
Nasikia Bashite atakuepo kwenye sherehe.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…