Leo ni ndoa ya Diamond na Zari?

Leo ni ndoa ya Diamond na Zari?

cocochanel

Platinum Member
Joined
Oct 6, 2007
Posts
27,885
Reaction score
76,043
Sherehe inaendelea nyumbani kwa Diamond mida hii

20170829_113841.png

20170829_113948.png

20170829_114018.png

Kideo(below) Babu Tale jana usiku akisema Bi harusi mtarajiwa...

Update

Snapchat video ya kunusisha tukio.. nakutana nazo nawaletea
 
Attachments

Seriously? Dah mbona haijawa habari kubwa sana?
Duh hatimaye kamuoa

Walianza kurusha rusha juu ya hili, na jana usiku Babu Tale kupitia snapchat ya Zari alisikika akimuita Bibi harusi mtarajiwa na wanabeba jiko. Zari alikuwa anatengenezwa nywele usiku wa saa sita jana.
 
Nasikia Bashite atakuepo kwenye sherehe.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Back
Top Bottom