cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Seriously? Dah mbona haijawa habari kubwa sana?Sherehe inaendelea nyumbani kwa Diamond mida hii
Seriously? Dah mbona haijawa habari kubwa sana?
Duh hatimaye kamuoa
HajatangazaSeriously? Dah mbona haijawa habari kubwa sana?
Duh hatimaye kamuoa
Bado wanachunguzana, hahahahahahnina ndugu zangu wameishi more than 20yrs wana familia ila kufunga ndoa hwataki kusikia sasa najiuliza ivi tatizo ni nini
nahic watafungia mbinguni kwakweliBado wanachunguzana, hahahahahah
Nasikia Bashite atakuepo kwenye sherehe.Walianza kurusha rusha juu ya hili, na jana usiku Babu Tale kupitia snapchat ya Zari alisikika akimuita Bibi harusi mtarajiwa na wanabeba jiko. Zari alikuwa anatengenezwa nywele usiku wa saa sita jana.
[emoji106]Hongera sana kwa kuoa, huyu kijana ana bahati sana, ameoa mwanamke mwenye uzoefu kwenye ndoa, na mwenye watoto wa kutosha. uzoefu unahitajika kila mahali siyo kazini tu.
hahahahaahah, labda wamefunga ya serikali hivyo hawaoni sababu tena ya kufunga na dini. Au yawezekana wamefunga ya dini kimya kimyanahic watafungia mbinguni kwakweli
Hahahaha! Kaingia choo cha kiumeSio Mabeto tena?
Yule wa kuzalishwa,wa kuolewa wapo wengine.teh teh tehMabeto?!
Hao jamaa ni mapacha?Sherehe inaendelea nyumbani kwa Diamond mida hii
View attachment 577323
View attachment 577324
View attachment 577325