chukuachako
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,209
- 817
Diamond akifa mali inabaki ya watoto wao chini ya usimamizi wa Zari ama Kweli tulipotoka ni gharama kwa wanaume!!!
In young dee's voicevipi watoto wa uswahilini haturuhusiwi kuja kubeba pilau kwenye mashati.....🙂🙂🙂🙂🙂
Hongera sana kwa kuoa, huyu kijana ana bahati sana, ameoa mwanamke mwenye uzoefu kwenye ndoa, na mwenye watoto wa kutosha. uzoefu unahitajika kila mahali siyo kazini tu.
inafanyikia Uganda au BongoSherehe inaendelea nyumbani kwa Diamond mida hii
View attachment 577323
View attachment 577324
View attachment 577325
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hongera sana kwa kuoa, huyu kijana ana bahati sana, ameoa mwanamke mwenye uzoefu kwenye ndoa, na mwenye watoto wa kutosha. uzoefu unahitajika kila mahali siyo kazini tu.
Kwanini madam?Aisee nimemwagia mafail maji ujue [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hapo kwenye experienceKwanini madam?
mwanaume aliekamilika hua hakatai watoto mkuu...huez kataa dam yako af unajitia usamaria kutunza watoto wa mwanamme mwingne...ovaaa!!!Mbona povu wanawake wa bongo mna mambo!
Sherehe inaendelea nyumbani kwa Diamond mida hii
View attachment 577323
View attachment 577324
View attachment 577325
Kama umeona zari amepata basis Na ww unaeza kuwa WA pili nafasi bado IPO mkuuZari alivokua na UROHO na hio ndoa???? INSTA PANGECHAFUKAAAA amuoneshe MOBETO KUA YY KAOLEWA