GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mkuu yaani Siku ya 3 leo kila ifikapo tu Saa 6 hii ya Usiku kuelekea Saa 9 ya Usiku mnene nasikia Ving'ora vinapishana tu usawa wa hiyo Hospitali ya 'Kimedani' Wilayani Kinondoni Mkoani Dar es Salaam na nikiambiwa kuwa hayo siyo 'Mafuriko' ya wenye UVIKO 19 nitabisha hadi Jua litakapochomoza Kesho Asubuhi.Tuanze kufunga turubai?
Hakika Mkuu ila kinachoniogopesha ni kwamba Kesho ( Leo ) Bi Mkubwa Kikatiba anatarajiwa 'Kutimba' hapo Kuzindua Jengo la Chuo cha Hospitali hiyo ya 'Kimedani' hivyo asije tu nae 'akavinyakuwa' angalau Virusi viwili vitatu na bahati mbaya Tanzania 'tukaomboleza' kwa Siku 21 kwa mara ya Pili mfululizo kisha Mkoa wa Kigoma ( kwa Watani zangu Waha ) nao ukaweka Rekodi chini ya Mkimbizi kutoka nchini Burundi.Mwenyezi MUNGU atuongoze kwenye hili
Kumbe na Wewe ni Mkeshaji wa Usiku?Mkuu nipo Jirani kabisa na hiyo road(Tangibovu)ya kuelekea hapo navisikia kwasana
Sana tu.Kumbe na Wewe ni Mkeshaji wa Usiku?
Uko lindo wapi Mkuu? Mimi nalinda hapa Makaburi ya Luventi ili Vibaka wasipafanye ndiyo Makao Makuu yao ya Kujipanga na Kujificha. Ni Mlinzi wa Kujitolea tu baada ya Kuona huwa sipati Usingizi Usiku hivyo bora nijitolee tu Kulinda huku nyie mkiwa mmepumzika ( mmelala ) na Mabenzi pamoja na Mahekalu yenu.Sana tu.
Tukilala Wote nani atailinda Tanzania?Tulale wakurugenzi
Sasa kama humtaki si uhame tu Nchi au?Baba angu alinihusia kutotawaliwa na mwanamke, sikumuelewa. Marekani wakachagua Mwehu kuliko kumpa nchi mwanamke Sikuwaelewa. Na hata vitabu vinasema hapakuwa na nabii wala mtume mwanamke pia Sielewi kwann!..
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
GENTAMYCINE ngoja kwanza.Uko lindo wapi Mkuu? Mimi nalinda hapa Makaburi ya Luventi ili Vibaka wasipafanye ndiyo Makao Makuu yao ya Kujipanga na Kujificha. Ni Mlinzi wa Kujitolea tu baada ya Kuona huwa sipati Usingizi Usiku hivyo bora nijitolee tu Kulinda huku nyie mkiwa mmepumzika ( mmelala ) na Mabenzi pamoja na Mahekalu yenu.
Mimi ni jirani yako kabisa.Uko lindo wapi Mkuu? Mimi nalinda hapa Makaburi ya Luventi ili Vibaka wasipafanye ndiyo Makao Makuu yao ya Kujipanga na Kujificha. Ni Mlinzi wa Kujitolea tu baada ya Kuona huwa sipati Usingizi Usiku hivyo bora nijitolee tu Kulinda huku nyie mkiwa mmepumzika ( mmelala ) na Mabenzi pamoja na Mahekalu yenu.