Leo ni Siku ya 3 mfululizo nyakati hizi za Usiku hadi Alfajiri nasikia Ving'ora tu katika Hospitali Kuu ya 'Kimedani' Mkoani Dar es Salaam Kulikoni?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Na ndiyo Hospitali hiyo hiyo za chini ya Kapeti nimezinyaka kuwa Bi Mkubwa Kikatiba Kesho anaenda Kuzindua Jengo lililojengwa na Wajerumani na ikiwezekana hata Sindano yake ya UVIKO 19 anaweza 'akachomewa' hapo hapo japo Askofu Gwajima Yeye kaigomea.

Mungu atusaidie sana na hii UVIKO 19.
 
Tuanze kufunga turubai?
Mkuu yaani Siku ya 3 leo kila ifikapo tu Saa 6 hii ya Usiku kuelekea Saa 9 ya Usiku mnene nasikia Ving'ora vinapishana tu usawa wa hiyo Hospitali ya 'Kimedani' Wilayani Kinondoni Mkoani Dar es Salaam na nikiambiwa kuwa hayo siyo 'Mafuriko' ya wenye UVIKO 19 nitabisha hadi Jua litakapochomoza Kesho Asubuhi.
 
Mwenyezi MUNGU atuongoze kwenye hili
Hakika Mkuu ila kinachoniogopesha ni kwamba Kesho ( Leo ) Bi Mkubwa Kikatiba anatarajiwa 'Kutimba' hapo Kuzindua Jengo la Chuo cha Hospitali hiyo ya 'Kimedani' hivyo asije tu nae 'akavinyakuwa' angalau Virusi viwili vitatu na bahati mbaya Tanzania 'tukaomboleza' kwa Siku 21 kwa mara ya Pili mfululizo kisha Mkoa wa Kigoma ( kwa Watani zangu Waha ) nao ukaweka Rekodi chini ya Mkimbizi kutoka nchini Burundi.
 
Uko lindo wapi Mkuu? Mimi nalinda hapa Makaburi ya Luventi ili Vibaka wasipafanye ndiyo Makao Makuu yao ya Kujipanga na Kujificha. Ni Mlinzi wa Kujitolea tu baada ya Kuona huwa sipati Usingizi Usiku hivyo bora nijitolee tu Kulinda huku nyie mkiwa mmepumzika ( mmelala ) na Mabenzi pamoja na Mahekalu yenu.
 
GENTAMYCINE ngoja kwanza.
 
Mimi ni jirani yako kabisa.
 
Back
Top Bottom