JPM aliajiri vijana wengi sana nchi zima na wengi bado wako kwenye baraza la mawaziri na taasisi zake Sabaya ni mmoja tu , mawaziri wa mkapa waliishia jela , subiri 2030 uone huu uozo.Sabaya alikuwa anatamba kwamba misheni zake alikuwa anatumwa na jiwe. Leo amekiri, kwa hakika ni siku ya aibu sana kwa utawala wa JPM.
Mimi kama mfuasi wa Jiwe, Leo nimekuwa na siku mbaya sana baada ya Sabaya kukiri uhalifu mbele ya mahakama. Alikuwa anafanya uhalifu na kikosi kazi kwa Kibali Cha JPM
Kwani mkuu ilihitaji PhD kujua hilo na alipata nguvu zaidi baada ya kufanikiwa mchomoa (gaidi) mboe kwenye kiti cha ubungeSabaya alikuwa anatamba kwamba misheni zake alikuwa anatumwa na jiwe. Leo amekiri, kwa hakika ni siku ya aibu sana kwa utawala wa JPM.
Mimi kama mfuasi wa Jiwe, Leo nimekuwa na siku mbaya sana baada ya Sabaya kukiri uhalifu mbele ya mahakama. Alikuwa anafanya uhalifu na kikosi kazi kwa Kibali Cha JPM
Aibu yenu na SG woteSabaya alikuwa anatamba kwamba misheni zake alikuwa anatumwa na jiwe. Leo amekiri, kwa hakika ni siku ya aibu sana kwa utawala wa JPM.
Mimi kama mfuasi wa Jiwe, Leo nimekuwa na siku mbaya sana baada ya Sabaya kukiri uhalifu mbele ya mahakama. Alikuwa anafanya uhalifu na kikosi kazi kwa Kibali Cha JPM
Sifurahishwi na mfumuko wa bei uliopo, ila naomba orodha ama takwimu ya waliofariki kwa njaa chiefUhalifu unaofanywa na awamu ya sita ni mbaya zaidi kuliko kipindi cha sabaya maana kwa sasa wtz wengi wanakufa kwa njaa inayotokana na kupandisha bei ya vyakula hovyohovyo akisaidiwa ba chawa wake
Wanaokufa kwa njaa ni wavivu walizoe burebureUhalifu unaofanywa na awamu ya sita ni mbaya zaidi kuliko kipindi cha sabaya maana kwa sasa wtz wengi wanakufa kwa njaa inayotokana na kupandisha bei ya vyakula hovyohovyo akisaidiwa ba chawa wake
Aliwabaka sana makamanda. Yaani wanahisi kama watanajisiwa tena na sabaya.Gaidi na team yake wanamuogopa sana Sabaya.
View attachment 2577791
Kanuni namba moja ya watu wenye wivu
Miaka miwili baadae, bado tu wanajaribu.
Wazungu wanamsemo ‘learn when to quit’.
Huyo mtu aliewahi kuishi Tanzania, mazuri yake ayawezi funikwa hasa kipindi hiki ambacho watanzania waliohai na akili zao timamu baada ya kuuona uongozi wake.
Busara ni kufanya yenu, mkubalike au mchukiwe kwa matunda ya kazi.
Magufuli kila siku inatosha, huo uongo watanzania walio wengi wameukataa.
Dadadeki....umeangukia pua!!! Aibu yenu jamaa mliyemsagia kunguni kaachiwa huru. KengeSabaya alikuwa anatamba kwamba misheni zake alikuwa anatumwa na jiwe. Leo amekiri, kwa hakika ni siku ya aibu sana kwa utawala wa JPM.
Mimi kama mfuasi wa Jiwe, Leo nimekuwa na siku mbaya sana baada ya Sabaya kukiri uhalifu mbele ya mahakama. Alikuwa anafanya uhalifu na kikosi kazi kwa Kibali Cha JPM
‘Chema chajiuza, kibaya chajitembeza’Mmhhh ni dhalimu yule yule ndio unamkingia kifua?
Kichaa wa Magufuli huyu hapa 😅Uhalifu unaofanywa na awamu ya sita ni mbaya zaidi kuliko kipindi cha sabaya maana kwa sasa wtz wengi wanakufa kwa njaa inayotokana na kupandisha bei ya vyakula hovyohovyo akisaidiwa ba chawa wake
Aisee!!!...JPM aliajiri vijana wengi sana nchi zima na wengi bado wako kwenye baraza la mawaziri na taasisi zake Sabaya ni mmoja tu , mawaziri wa mkapa waliishia jela , subiri 2030 uone huu uozo.
USSR
Kada vipi tena unaita uozo teuzi za chama?JPM aliajiri vijana wengi sana nchi zima na wengi bado wako kwenye baraza la mawaziri na taasisi zake Sabaya ni mmoja tu , mawaziri wa mkapa waliishia jela , subiri 2030 uone huu uozo.
USSR