Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulikuwa tukisema humu.kwa Kibali Cha JPM
Sidhani kama alikuwa atamba bali ni kutoeleweka kwa missions alokuwa akiagizwa kama DC azifanye.Sabaya alikuwa anatamba kwamba misheni zake alikuwa anatumwa na jiwe. Leo amekiri, kwa hakika ni siku ya aibu sana kwa utawala wa JPM.
Mimi kama mfuasi wa Jiwe, Leo nimekuwa na siku mbaya sana baada ya Sabaya kukiri uhalifu mbele ya mahakama. Alikuwa anafanya uhalifu na kikosi kazi kwa Kibali Cha JPM
Kafungwa kifungo cha nje(suspended sentence) cha mwaka mmoja na faini(fidia) ya milioni tano.Dadadeki....umeangukia pua!!! Aibu yenu jamaa mliyemsagia kunguni kaachiwa huru. Kenge
Hawa wanaokumbuka udhalimu, dhulma, mateso pamoja na wasiojua ndugu na wapendwa walio walipo hadi leo si Watanzania?‘Chema chajiuza, kibaya chajitembeza’
Uongo kwa Magufuli ata urudiwe vipi, watanzania wameukataa. Wanamjua vyema nyakati za uhai wake alikuwa anasimamia nini kwa maslahi mapana ya watanzania wote.
Magufuli ni brand inayojiuza yenyewe kwa sasa, baada ya miaka miwili ni muda wa kukubali matokeo watanzania awanunui hizo hadithi za udhalimu.
Ukiambiwa uwataje utatuletea hadithi za viroba ufukweni.Hawa wanaokumbuka udhalimu, dhulma, mateso pamoja na wasiojua ndugu na wapendwa walio walipo hadi leo si Watanzania?
Sabaya alikuwa anatamba kwamba misheni zake alikuwa anatumwa na jiwe. Leo amekiri, kwa hakika ni siku ya aibu sana kwa utawala wa JPM.
Mimi kama mfuasi wa Jiwe, Leo nimekuwa na siku mbaya sana baada ya Sabaya kukiri uhalifu mbele ya mahakama. Alikuwa anafanya uhalifu na kikosi kazi kwa Kibali Cha JPM
Huyo ana matatizo na pengine ni mke wa Sabaya, hatuwezi juaSifurahishwi na mfumuko wa bei uliopo, ila naomba orodha ama takwimu ya waliofariki kwa njaa chief
Hujawa msemaji wetu we kenge tu‘Chema chajiuza, kibaya chajitembeza’
Uongo kwa Magufuli ata urudiwe vipi, watanzania wameukataa. Wanamjua vyema nyakati za uhai wake alikuwa anasimamia nini kwa maslahi mapana ya watanzania wote.
Magufuli ni brand inayojiuza yenyewe kwa sasa, baada ya miaka miwili ni muda wa kukubali matokeo watanzania awanunui hizo hadithi za udhalimu.
Ndo maana alisema mahakamani kwamba hayati JPM, makamu wa raisi wa sasa na gavana wa BOT wote walikuwa wakifahamu missions hizo ambazo nyingi zilikuwa ni za kusaka mashine za kuchapisha pesa chafu ambazo zilikuwa zikitumiwa na baadhi ya watu ambao nao walikuwa na connections na maduka bandia ya kubadilisha fedha.
Mengine hadithi tu na kama yalikuwa yakifanyika sio kwa ridhaa yake,
Mwigulu ni mmoja waoJPM aliajiri vijana wengi sana nchi zima na wengi bado wako kwenye baraza la mawaziri na taasisi zake Sabaya ni mmoja tu , mawaziri wa mkapa waliishia jela , subiri 2030 uone huu uozo.
USSR