F fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 2,977 Reaction score 3,798 Dec 25, 2024 #1 Kwa sasa maisha ni magumu mno,vipato ni vidogo na matumizi ni makubwa sana.Kinachotakiwa ni kuacha tamaa na uvumilivu mkubwa sana,ama wewe na mkeo au wewe na mmeo,au kwa mabachela,bila hivyo kuangamia ni rahisi sana
Kwa sasa maisha ni magumu mno,vipato ni vidogo na matumizi ni makubwa sana.Kinachotakiwa ni kuacha tamaa na uvumilivu mkubwa sana,ama wewe na mkeo au wewe na mmeo,au kwa mabachela,bila hivyo kuangamia ni rahisi sana
Mrao keryo JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 1,901 Reaction score 2,566 Dec 25, 2024 #2 Sawa
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,032 Reaction score 18,540 Dec 25, 2024 #3 TUnashukuru