Leo ni Siku ya Kimataifa ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Kimbari ya Wayahudi

Mayaudi kutoka Nzega ktk majozi makuu🤣🤣
Wewe Mwarabu-koko unafurahia nini? Hivi unajua idadi ya magaidi waliofyekelewa mbali huko Gaza,Yemen na huko Lebanon?

Tumia akili yako vizuri Acha kubwabwaja tu
 
Wauaji hawana kabila hata mnaowaita ninyi wapigania uhuru wakati ni Magaidi na wauaji wakubwa!!
Usipotoshe andiko ambalo umeleta mwenyewe.
Adui yao aliyewateketeza kwa mamilioni nì Adolf Hitler.
Alijaribu kuwafuta wote.
Na sherehe hiyo inahusu kukumbuka mauji hayo makubwa (Genocide) yaliyofanyika miaka 80 iliyopita.

Kiongozi wa Jeshi la Wanazi la SS Heinrich Himmler alisema mnamo 1943: "Sikujiona kuwa na haki ya kuwaangamiza wanaume hao - kwa maneno mengine, kuwaua au kuwaua - na kisha kuwaruhusu watoto wao kukua ili kulipiza kisasi kwa watoto na wajukuu zetu.
Hilii ndiyo jaribio la kuwauwa wao na mayai yao ili wasiwepo kwenye uso wa Dunia.
Hitler hakuwa mwarabu wala mpigania uhuru.
Wajukuu wa Hitler bado wapo nendeni mkalipe kisasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…