Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Nikifunua kinywa changu mtalia bure.
Sipendi kulazimishwa mimi najitambua huwa sili mataputapu..ishia hapa
Kaka una mikwara!! Hebu sema bhana
Hapo unamchanganya mkeo ujue!!
Nani atalia sasa?? Mana unanifokea had mimi??
Ko na mimi umenikataa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu funguka, tema nyongo hata km unanisema mimi wewe sema usipindishe