Leo ni siku ya kuvumiliana duniani. Ni member gani humu umemvumilia vya kutosha sasa basi?

Leo ni siku ya kuvumiliana duniani. Ni member gani humu umemvumilia vya kutosha sasa basi?

Dah,kama unaelewa Hilo nyie mtaishi sana watu wangu wa nguvu[emoji3590]
Yes naelew vizuri hilo. Maisha ya kidada na wadada wenzie haipaswi kuyagusa hata kidogo labda awe na watu wa ajabu ajabu. But kwa watu mfano wako wala mtu hapaswi kufatilia na kujua chochote
 
Hamna kitu,amekasirika tu....hakuna kibaya kati yao

Dada kiukweli kanishangaza hata wewe umeshtuka!! Mi niko huru hata kukupa pm yangu usome msg zote na zingine nili screenshot za id ya cute ujiachie kwa raha zako uone km kuna sehemu niliwahi kumtaka mumeo!!! Amenikosea
 
Nakihitaji sana nataka nimchukulie mzee wangu mmoja kama zawadi.Ntamuagiza mtu.Shukrani sana.
Muagize mtu akuchukulie ama nenda mwenyewe.

Vipo aina mbili,,
Kuna kimoja cheupe tayari nembo ile inaonekana, upande mwingine Kuna maandishi bible verse

Kuna kingine ni cheusi hakionyeshi kitu hadi uweke chai.
Ukishaweka chai sasa ndio kinabadilika na kuleta Ile nembo ya mwanakondoo.
Upande wake wa pili una jengo la kanisa.

Ila vyote viwili unyama ni mwingi
Japo Mimi nakipenda zaidi kile cha pili.. especially kinavyobadilika..yaani naenjoy.
Na kwa surprise hiki sasa ndo chenyewe.
 
Hivi hamna screenshot zozote za Mama mchungaji HS ?
Kuhusu ile stori yake kwamba jamaa mwenyewe ndio alikuwa anavumisha habari ..

Kama mnazo,chonde tusaidieni.

[emoji23][emoji23][emoji23] Hapana sina na hata ningekuwa nazo siwezi kukupa. Ugomvi sio mzuri!!
Tuishi kwa kuvumiliana Mtakatifu Anne

JF uzushi mwingi! Sio kila kitu cha kukiamini ndugu yangu. Utajipa presha na kuchukia watu bure ambao huwajui wana fake id
 
Muagize mtu akuchukulie ama nenda mwenyewe.

Vipo aina mbili,,
Kuna kimoja cheupe tayari nembo ile inaonekana, upande mwingine Kuna maandishi bible verse

Kuna kingine ni cheusi hakionyeshi kitu hadi uweke chai.
Ukishaweka chai sasa ndio kinabadilika na kuleta Ile nembo ya mwanakondoo.
Upande wake wa pili una jengo la kanisa.

Ila vyote viwili unyama ni mwingi
Japo Mimi nakipenda zaidi kile cha pili.. especially kinavyobadilika..yaani naenjoy.
Na kwa surprise hiki sasa ndo chenyewe.
Barikiwa sana mtumishi.Ntajitahidi nimchukulie vyote viwili ili wazee wenzake wakija kumtembelea wanavikuta.
 
Back
Top Bottom